Recent content by Tour1234

  1. Tour1234

    JamiiForums Tanzania Natafuta king'amuzi cha startimes pamoja na Tecno Camon X

    Nashukuru kwa kunifungua pia. Ahsante.
  2. Tour1234

    JamiiForums Tanzania Natafuta king'amuzi cha startimes pamoja na Tecno Camon X

    Habari wandugu, nahitaji king'amuzi cha startimes cha dishi dau langu 70,000/=. Pia smartphone aina ya Tecno camon x with dau nililonalo 180,000/= Kwa Mawasiliano 0676994746. Nipo Morogoro kwa sasa.
  3. Tour1234

    JamiiForums Tanzania Je, umesahau pin, password au pattern ya smartphone yako? Njoo nikufungulie bila uki-flash

    Kutana na mimi hapa nikusaidie namna ya kufungua simu yako bila kuiflash kama umesahau pin, password, au patten. Napatikana kwa namba 0756525889. Karibuni, huduma ni bei nafuu. Kumbuka: Ni smartphone aina zote isipokuwa tu iPhone.
  4. Tour1234

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA MKE WA KUOA

    Natafuta mwanamke wa kuoa. Kwanza awe na vigezo vifuatavyo. 1. AWE MNENE, mwanamke mwembamba moyo wangu haumhitaji kabisa. 2. Awe mkweli 3. Muwazi 4. Anajali 5. Umri 20 hadi 24 Umri wangu ni miaka 25. Pia sifa nilizozianisha hapo juu ninazo mimi pia. Nipo Morogoro kwa sasa. Kama yupo aliye...
  5. Tour1234

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

Back
Top Bottom