Recent content by Tour De France

  1. T

    JamiiForums Tanzania Wengi mpaka leo hatujui kiliongelewa nini kwenye Ngangari ya Gangwe Mobb, mliojua tunaomba mtusaidie

    Maji ya kunde, kaenda hewani sekunde!
  2. T

    JamiiForums Tanzania Madenge wa Twitter ni usajili mbovu kuwahi kufanywa na Majizo wa EFM

    Huwa anachanganya "a" na "h" mfano upo wapi ataandika hupo wapi? "Amesema" ataandika "hamesema"... Sasa na hicho kithethe kwenye kutangaza ndio shida zaidi... bora kwenye kuandika.... angekuwa mjanja angewahi mapema kuanzisha online media yake ili watu wamfanyie kazi otherwise anapoelekea...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga wanamweka benchi mshambuliaji hatari kabisa Jean Baleke vipi Simba imng'ang'ania Mukwala ambaye hana faida yoyote

    Tumia akili, Ateba na Mpanzu wote walikuwa na kadi za njano, na kwa jinsi refa alivyokuwa anachezesha wale wote walikuwa kwenye risk ya kupewa kadi ya pili na hivyo kutolewa kwa red.... kocha aliingiza wachezaji wa ku hold mipira na kupoteza muda delaying tactics ilikuwa muhimu sababu hata...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Dulla Makabila anajutia kutoa talaka kwa Zaiylissa, mke wa Haji Manara kwa sasa

    Ndio kusema anampenda mke wa haji manara hadi sasa sio?
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ayobami junior: HIFADHI hili jina kichwani

    Kwenye hizo video anazunguuka kama kishada na kuwapa kizunguzungu wenzake... huyu si wa kukosa timu hata kidogo
  6. T

    JamiiForums Tanzania Edson Mabele wa kipindi cha Wallpaper - Star Tv

    Kaenda wapi?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Goodluck Gozbert amepotelea wapi?

    Huwa anarembua macho sana... hajafichwa kweli?... mji mzito huu!
  8. T

    JamiiForums Tanzania Msanii Willy Paul ameonesha umma kuwa ni jinsi gani ni kijana wa ovyo

    Umeandika vitu vingi hata hatujui tushike lipi?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Tupac Amaru Shakur (1971-1996)

    Ulitakiwa umshangae Tupac imekuaje hakuacha hata mtoto pamoja na umaarufu na utajiri wake?.. Bob katuachia kina Ziggy na wenzake , huyo 2pac alitumia muda wake kutukana na kugombana na wanaume wenzake bila sababu za maana... hopeless kabisa yule...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nikifanya mapenzi na huyu mchepuko napata sana wateja siku hiyo

    Duuh, shetani kakunasa kirahisi sana aisee!... halafu kakutega kizamani na umenasa!... subiri sasa mwisho wa movie
  11. T

    JamiiForums Tanzania Vivian Kikii adai hawajashirikishwa msiba wa Mzee wao King Kikii

    Ushachanganya madesa tayari... usiwe una comment ukiwa na njaa au usingizi
  12. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ex wangu alivyoniharibia binti yangu inaniuma sana

    Binti kafeli form 4 akiwa kwenye himaya yako, malezi mabovu yalianzia kwako... mwenza wako kaenda kumalizia tu kazi ya kumharibu mtoto..... Halafu hii tabia ya kutusumbua kwa matatizo ya maamuzi yenu mabovu ikome! ... mnaokota machangu mnazaa zaa nao halafu mnakuja kutulilia huku...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Jay Combat ndie mrithi wa Juma Mpogo au tusubiri mwingine?

    Huyu ndio kwenye nyimbo yake anasema KAFA PAKA KAZIKWA NYAU?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Flaviana Matata kama model kwenye brand kubwa ya nguo Marekani

    Mi nilidhani Betina!
Back
Top Bottom