Binafsi sioni umuhimu na ni kuongeza gharama tu. Wengine wanaona labda ni sehemu ya kuweka makumbusho ya familia pamoja. Lakini kama kitu chochote kinacost zaidi ya uwezo wa mtu au familia basi hakihitaji kufanyika. Ni vema muhusika akama anaacha wosia wa kuzikwa sehemubasi aache na nauli...
Mimi kama mwanamke nasema rushwa ya ngono imeletwa na wanawake wenzetu ambao asilimia kubwa wanaona bora watumie miili yao kuliko kutumia akili au kuhangaika kutafuta kazi. Na wanajua wahitaji (wanaume) wapo kibao wanahitaji.
Lakini hata kwenye biashara hata demand iwe kubwa vipi, kama supply...
Pesa..pesa...pesa...
Hii kitu inafanya usijitambulishe sana, ndugu wote wanajua unapoishi na unapofanya kazi, kila mtu 'anakupenda' hata kama ni kiunafiki hana ubavu wa kukuletea mabifu na unajua kabisa hakupendi ila hana jinsi..then mengine yote yatakaa sawa tu ukiwa duniani...hata ukiugua...
Ilibidi wapewe mshahara kama wafanyakazi wengine ambao pia huwa wanapigania kuendeleza makampuni. Labda hilo hawakuliwazia mapema wao kama watoto. Ni risk kubwa kujifanya sehemu ya biashara ya familia ama mali za familia siku zote maana ndugu pia hugeukana kisa mali. Kama wangekuwa clear toka...
Hapa somo ni 1 tu. Watoto tuache kusubiria urithi. Acha mzazi aponde mali zake the way anavoona inamfaa..wewe tafuta chako ili kuondoa ugomvi kama huu. Ukibahatika mzazi ni tajiti omba mtaji akiwa hai uanze biashara. Na hata akikataa kukupa mraji usimlazimishe, fight, tafuta chako achana na...
Binafsi nilishangaa ila nikadhani labda ndo uanaume. Make ukiambiwa mtu kapata ajali unatoka nduki. Hata ukiambiwa kafa lazima uende maana unapata kihoro. Ila jamaa moaka saa 12 na robo anadai alikuwa home mpaka alipofika Banana Zorro. Hata kama mtu familia yake hawakukubali..kwanza kwa miaka...
Watu wanshindwa kuelewa kwamba mafuta yakioanda vitu vyote vinapanda bei;.
mwenye nyumba atapandisha kodi kwa sababu anategemea kodi ili anunue mafuta ya gari lake au alipe nauli anaposafiri.
wenye shule watapandisha ada maana wanahitaji kufidia gharama za usafiri zilizoongezeka
konda na dreva...
Wewe ndo una ikabila. Kuna shida gani mtu kumuajiri wa kabila lake? Tena ni raha maana hata ukisinzia unamwambia tu mnaenda kijiji gani anafika. Halafu baadae mtu kama wewe unasema sisi ni ndugu . Unataka pia weupe wasitubague wakati wewe ndo mchochezi namba 1 wa makabila.
Wanalipwa mshahara kiasi gani? Basic ni sh ngapi na take home sh ngapi? tuanzie hapo.Na je vyeo/ madaraja yao yanapandishwa baada ya muda gani na je wote wanapanda.Ni vema kuongea kwa data
Ukiona ni karibu piga mbizi au tumia boti yako. Ni rahisi sana ukiwa haumiliki chombo kuona mtoa hufuma anakunyonya..ila ukishakumbuka kuwa gharama yake huiwezi..basi ni vema kukumbuka kuwa alowekeza pia anahitaji kutengeneza faida yake pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.