Recent content by totooj

  1. T

    Arusha: Wanafunzi Chuo cha Uhasibu kurudi chuoni kwa huruma za Wakuu wa Wilaya...

    upo mzozo nz kzmz hutaki kuamini rejea mauwaji ya kijana kubaka/mwananchi alieuwawa miaka ya 2009/2010 hapa kuna kulipiza kisasi.kwa nn wasirudi nyuma na kukumbuka tukio hilo?
  2. T

    Natafuta mume wa mtu

    mme wa mtu sumu.epuka io maneno
  3. T

    Arusha: Wanafunzi Chuo cha Uhasibu kurudi chuoni kwa huruma za Wakuu wa Wilaya...

    Hapa kinachotakiwa ni kutafuta kiini cha mzozo uliopo kati ya wanafunzi wa chuo cha uhasibu na wananchi bila hivyo watakuwa wanauwana kila kukicha.kwa mkuu wa wilaya kuna nn?ili iweje?
  4. T

    Alichokiomba baba yangu kutoka kwa babu yake kinanitesa.....Plse help

    ckubaliani na ushauri ulompa cargo wa kumtongoza mama Salma,,Atakuwa hana adabu kumtongoza mke wa Rais.:angry:
  5. T

    Sijawahi kufika kileleni

    nakupa pole sana mpendwa wangu,wanawake wengi asilimia 95 hawafiki kwenye kilele.wanawake wamekuwa kama ni vyombo vya kustarehesha wanaume.wanaume wengi wakishamwaga wao hawatambui kuwa wanawake nao wanatakiwa wafike kilele.but nikushauri tu kuwa titahidi kuweka mawazo katika tendo la ndoa...
  6. T

    Wanaume waoaji wapo wengi akina dada hawajagundua siri!!!!!

    Duh,mm apa umenikuna sana,mm najitaidi sana nikiwa nadegedwa but cjampata wa kunioa adi nimejikatia tamaa,,Haya uloeleza ni ya kweli,na najitaidi kuyafata but cjampata mtu wa kutunzana nae.
  7. T

    Nimeahirisha kuoa.

    pesa kwenye mapenzi kumbuka haziapply.
  8. T

    Nimeahirisha kuoa.

    Mimi naomba usiache kuoa mm niko nahitaji watu kama nyie mlokata tamaa,niko serious kama utanikubali.am 42yrs old
Back
Top Bottom