Recent content by totolito

  1. totolito

    Najuta kwa madhambi niliyoyafanya nikiwa Chuo Kikuu, naomba Mungu watoto wangu wasipite njia ile

    usikatae mimi nimeshuhudia wanafunzi wa chuo mmoja baba ake paroko huko morogoro ila dar hakuna siku analala hostel na waganga wakienyeji anaenda bangi anavuta shisha usiseme kama moshi wa treni na alifeli kabisa hadi sasa umeshindwa kurudi kwako kwa mabadiliko na yy hajabadilika anapambana na jiji
  2. totolito

    Hamna watu wanaotapelika kirahisi kama waumini wa dini hii

    Viungo vya uzazi unamaanisha nn mkuu wanaliwa kabisa au ? Acha uhuni
  3. totolito

    Idadi ya watu wanaonuka midomo inaongezeka kwa kasi Tanzania

    Ukimaanisha wenye ilo tatizo ni wanaume tu ndio maana umewaonea huruma wenzi wao? Au nimeelewa vibaya[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
  4. totolito

    Walinzi wa SUMA JKT mmekuwa Kero sana au ni stress za kukatishwa ndoto za kuwa JWTZ

    Hao CCM wenyewe tu wamewakimbiza sumajkt kwenye mwendokasi bimkubwa kasema hawa wapuuzi wanaweza nigombanisha na wananchi bure Sasa hivi hawapo busara hawana wale
  5. totolito

    Naunga mkono wazo la Uzalendo lililotolewa na Rais kuwa umesomeshwa na Serikali basi nenda kawatumikie Wananchi

    Kuna watu wanajipendekeza Mpaka wanatia kinyaa sasa huo upofu wa nn kwa vitu vinavyoonekana kwani kusema rais wetu kateleza unapungukiwa nn hakuna binadamu asiyekosea iwe kwenye ulimi au kutembea Mbona nyepesi sana
  6. totolito

    TANZIA Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brig. Jen Mstaafu Emmanuel Maganga afariki Dunia

    Uko Sawa kabisa mkuu ila napo miaka ya nyuma tulikuwa tunakariri Wakuu wa mikoa kozi walikuwa wanadumu kwenye mikoa Yao leo ukizingua asbh baba anakutoa anaweka mwingine hivyo mwaka 1 unakuta wakuu wa mikoa watatu unakariri vipi ndio maana hata hayo maswali yametolewa kwenye mitihani R.I.P...
  7. totolito

    Uchaguzi 2020 Ombi: Tume ya Uchaguzi tunataka mdahalo wa Wagombea Urais

    Sina hakika kama anamuogopa ila nachojua hatokuwa na mda wa ziada wa kushiriki kitu ambacho hakiko kwenye ratiba yake
  8. totolito

    Kabila la Wanyakyusa wanaongoza kwa matatizo ya kifamilia

    Ndaga shemela maana hawa watu wa humu naona wanatufokea tu bila sababu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. totolito

    Lissu ni mtu ambaye anawashangaza hata CHADEMA wenyewe

    [emoji15][emoji15][emoji15]etiiiii?
  10. totolito

    Uchaguzi 2020 Haya ni mambo 10 niliyoona kwa CCM Vs CHADEMA mpaka sasa kuelekea kipute cha kampeni rasmi

    Kulia lia kunakujengea udhaifu wa kushambuliwa kikubwa wewe unajua si mwanachama wa chama chochote hivyo endelea kutoa mawazo yako bila kujari watu wanakupeleka chama gani kikubwa wewe ujijue
  11. totolito

    Uchaguzi 2020 Haya ni mambo 10 niliyoona kwa CCM Vs CHADEMA mpaka sasa kuelekea kipute cha kampeni rasmi

    Mbona unalia lia mkuu kwani kuwa mwanachama wa ccm ni dhambi????jiamini vyote ni vyama isikuogopeshe hiyo misemo ya lumumba sijui matanga
  12. totolito

    Uchaguzi 2020 Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha asema Nassari alimtumia SMS akitaka kuhakikishiwa kupewa nafasi ya kugombea Ubunge tena

    Huyu kijana angepata ubunge wake bila shaka maana alikuwa anafanya kazi na wananchi wake walimpenda ila now asahau ubunge kama hata viti maalumu hatopewa na pande zile
Back
Top Bottom