S V Surovikin
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 13,616
- 32,723
Kinga ni bora kuliko tibaKwani bado lipo?
Kinga ni bora kuliko tibaKwani bado lipo?
Hii ni kweli kwa kiasi flani, nipo group moja la wasap kuna members kama 9 wameripoti kupeteza wazazi wao ndani ya mwezi huu!Poleni Ndugu ,Jamaa na marafiki.
Kila siku tunasema kuanzia Dec 2020 idadi ya taarifa za vifo vimeongezeka sana ,hawa ni watu maarufu ila ukitaka kujua wa mitaani angalia kwenye mitandao ya kijamii.
They will miss youAliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brig. Jen Mstaafu Emmanuel Maganga amefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Milambo Mkoani Tabora usiku huu.
Brigedia Jenerali Mstaafu Emmanuel Maganga alistaafu mwezi Julai, mwaka 2020 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alimteua Bw. Thobias Andengenye (aliyewahi kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji) kuwa Mkuu wa mkoa wa Kigoma kuchukua nafasi ya Brig. Gen. (Rtd) Emmanuel Maganga.
Brigedia Jenerali Mstaafu Maganga alilitumikia jeshi la wananchi wa Tanzania kwa muda wa miaka 37, akiwa kitengi cha ugakuzi wa Ulinzi jeshini (Defense Inspection Unit). Aliagwa rasmi pamoja na maafisa wenzake wa ngazi za juu mnamo tahere 04 Machi 2016 katika gwaride maalum lilioandaliwa katika kambi ya Jenerali Abdallah Twalipo, Temeke Dar Es Salaam. Aliteuliwa mwaka huo huo kuwa mkuu wa mkoa wa Kigoma.
View attachment 1682982
#RIPMaganga
Kama ambavyo wewe utaishi mileleSiasa za mtu mmoja na mishabiki lukuki mijinga isiyojua kuwa haijui kuwa haijui ndicho ilicho kiama chetu.
Aliandika mwandishi mmoja:
"Fools die."
Serikali ituweke wazi
Apumzike kwa amani.
Kama ambavyo wewe utaishi milele
AMEEN!Duuh vifo kila kona, Mungu tuokoe.
Zamani ukuu Wa mkoa ilkuwa cheo cha hatari,ilkuwa ni lazima uwajue wakuu Wa mikoa yote Tanzania.
Maana wakati mwingine unaweza kuulizwa swali kwenye mtihani,mf taja mkuu Wa mkoa Wa Mwanza?,unataja chapu.
Ila toka wameanza kuwekwa vijanavijana hawa mwendo kasi ka kina Gambo,Makonda,Hapi nk,wameharibu hicho cheo tokana na matendo yao hasa hicho cheo kuwa cha kisiasa zaidi.
Mi nilikuwa hata sijui mkuu Wa mkoa huo JIna ndo naskia Leo baada ya Ku RIP,hata ukiniuliza sa hii mkuu Wa mkoa nilioko saa jina lake sijui mpaka niingie Google.
Ndo hasara ya mitoto iliyozaliwa bila mama kupata uchungu.
Mama yako kapatwa hamu ya kunya kaenda chooni ...paap unatoa miguu.
Mnacho kitafuta wewe na hao wenzio ni kuona nchi inakuwa na vurugu, kwa kuwa nyie mmekatiwa mirija yenu ya ufisadi.Ni ada kutobishana na mamburula yasiyokuwa na hoja. Kwa mara nyingine ni copy, ni paste na kukusomea kwa sauti ulichoandika?
Eti wewe ni mtetezi wa jiwe. Si heri vijibwa vyake?
Hizo takwimu wewe umezitoa wapi ziweke hapa tuone!!
Tuseme Sasa hivi watu wanakufa sababu ya corona haya na hiyo miaka mingine uliyoweka walikuwa wanakufa sababu ya Nini?
Hii ni kweli kwa kiasi flani, nipo group moja la wasap kuna members kama 9 wameripoti kupeteza wazazi wao ndani ya mwezi huu!