Recent content by torres0909

  1. T

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Kwa jinsi uzi huu ulivyo mrefu nadhani tutaingia nao mwaka 2020
  2. T

    Nauza gari aina ya Rav4 namba C, bei Mil 9

    RAV 4 Namba CGX Bei - 9 Mil CONTACTS: 0713470005 0713260885
  3. T

    Bunge la Katiba mshike mshike

    Hii Picha siyo ya Bunge la Katiba, Viti hivyo vyekundu havitumiki katika Bunge la Katiba ili kuongeza idadi ya wajumbe
  4. T

    Being in Njombe, ushawahi ishi, soma, fanyia kazi au hata kupita maeneo haya?

    Kuna eneo linaitwa Barazani - Lupembe, nakumbuka 1998 kulikuwa na uwanja wa mpira umezungukwa na mabanda ambao watu hupiga mtungi,kila dakika wachezaji wanatoka na kuingia uwanjani kumbe walikuwa wanaenda kupiga ulanzi wakirudi uwanjani wanaanguka tu.
  5. T

    Wapi nitapata viti vya plastic

    Ahsante sana mkuu
  6. T

    Wapi nitapata viti vya plastic

    Nipo DAR, itakuwa poa kuipata kujua makadirio ya bei kwa hizo sehemu niende kamili
  7. T

    Wapi nitapata viti vya plastic

    Nahitaji kununua viti kama 50 hadi 100 vya plastic. Viwe vilivyotumika au vipya ila viwe na ubora mzuri.
  8. T

    Waraka: Serikali yatangaza kima cha chini mishahara ya kisekta

    TGS E.1. (696,200 hadi 751,000), TGS E.2 (710,700 hadi 751,000), TGS E.3 (725,000 hadi 782,000) TGS F.1 (930,000 hadi 1,003,000), TGS F.2 (948,000 hadi 1,022,400),TGS F.3 (966,000 hadi 1,041,400)
  9. T

    Waraka: Serikali yatangaza kima cha chini mishahara ya kisekta

    WATUMISHI WALIMU: TGTS A.1 (223,000 HADI 296,000), TGTS A.2 ( 225,400 HADI 296,000) TGTS B.1 (277,000 HADI 344,000) TGTS C.1 (370,000 HADI 432,500) TGTS D.1 (532,000 HADI 589,000) TGTS E.1 (720,000 HADI 769,00O) TGTS F.1 (980,000 HADI 1,003,000) TGTS G.1 (1,232,000 HADI 1,232,500) TGTS H.1 (...
  10. T

    Waraka: Serikali yatangaza kima cha chini mishahara ya kisekta

    Nawaomba radhi kwa leo nimeshindwa kuweka kwa kuwa una page nyingi pia muda ulikuwa mdogo, kwa kesho nitajitahidi kuscan hizo nakala na kuzitupia mtandaoni, pia kuna baadhi ya member nitajitahidi kuwatumia wale waliotuma email.
  11. T

    Waraka: Serikali yatangaza kima cha chini mishahara ya kisekta

    i.e TGOS A.1 170,000 hadi 240,000 TGS A.1 187,000 hadi 249,000 TGOS B.1 250,000 hadi 347,000 TGS B.1 251,200 hadi 311,000 TGS C.1 351,200 hadi 410,000
  12. T

    Waraka: Serikali yatangaza kima cha chini mishahara ya kisekta

    Nimeshindwa kuambatanisha page zote, ila nimeambatanisha barua ya waraka huo. Bado naendelea kuangalia uwezekano
  13. T

    nokia smartphone inauzwa bei nafuu sana.

    ushaiuza hiyo simu?
  14. T

    Mahariiiiiiiiiiiii imeshatolewaaa mahariiii ishatolewaaaa dada huyooooo

    Kweli huu mwaka wenu, tunawasubiri tu siku mtajichanganya katika fainali ili muone machungu mara mbili.
  15. T

    'Yanga aua Simba'

    Nahisi hilo njemba litakuwa Mwape tu.
Back
Top Bottom