Recent content by torogo

  1. torogo

    JamiiForums Tanzania Kabila gani lina lafudhi nzuri ya Kiswahili Tanzania?

    Wajita na wakerewe
  2. torogo

    JamiiForums Tanzania Hili mimi ntalisema Tu. Kama watanichukia wanichukie Potelea Mbali

    Umeongea ktu saii sana ndg na mwisho wa siku ni kuishia malalamiko tajwa apo kwenye uzi wako hongera sana ndg kwa fkra chanya
  3. torogo

    JamiiForums Tanzania Hili jina utopolo fc sijui upotolo fc mnatukera sana!

    Jina lnaendana na timu yenyewe bfs sababu ya kumlaum hyo jamaa alieleta ilo jna
  4. torogo

    JamiiForums Tanzania Mshamba mimi sijawahi kwenda Club/disco, washamba wenzangu tukutane hapa!

    Iv dhana ya neno ushamba ni nn jamn samhn lakn kama nitakuwa nje ya mada ila msaada tafadhal Sent using Jamii Forums mobile app
  5. torogo

    JamiiForums Tanzania Ni ipi ngeli ya neno MAITI?

    Ngeli inayotumika hap ni A-WA kwa maana mtu hata kama akifa hadhi yake hubak hai hawez kufananishwa na vtu visivo na uhai japo kwa muda huo hatakuwa na uhai ila haiondowi hadhi yake ivo tunasema maiti atasailishwa na maiti watasafilishwa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. torogo

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Maana na tofauti ya maneno 'hofu', 'wasiwasi', na 'uoga'

    Hofu- dhania kuwa kuna ktu kbaya, wasiwasi-kutokuwa na iman na jambo au ktu fln na uoga - ni kujenga au kuweka na kuamin kuwa jambo au ktu fln ni kbaya n:b ni mtazamo lkn Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom