Recent content by Toplady

  1. Toplady

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Sku kamshauri Zak vizuri sana ila kwa sasa Zak hawezi kumuelewa
  2. Toplady

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Yaani muda wote yupo calm hana papara I like him
  3. Toplady

    Wanawake wote kawazalisha na hana mpango wa kuwaoa

    Aendelee tu kuzaa hadi wafike 20 ikifika muda wa kulipa ada akili itakaa vizuri. Mwanaume wa miaka 42 anafanya ujinga wa watoto wa under18? SMH
  4. Toplady

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Sijui kwanini wanawaua jamani I loved Jeff ameondoka and now Frank Xavier
  5. Toplady

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Yaani kama sahv wamepost Frank amekufa sitamani hata hyo episode ifike
  6. Toplady

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Lincoln na Katlego uzalendo umewashinda
  7. Toplady

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Priya ana matatizo sana na badala ya kujenga ndo anaharibu kabisaa
  8. Toplady

    Majibu ya Diamond kwa Jokate kuhusu post yake iliyoleta utata

    Hivi sahv Dai anatembelea nyota ya nani vile?? Maana ilisemekana bila nyota ya mbuge mtarajiwa hatapata tuzo hata moja
  9. Toplady

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Huyu Priya na hiyo kazi yake bora aachwe tu nae anaboa
  10. Toplady

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Mwenyewe Zak amenichefua kweli, nlikua namuona wa maana kumbe kahaba tu
  11. Toplady

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Hivi wameshaduuu??
  12. Toplady

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Ndoa ya Kat na Lincoln tayari
  13. Toplady

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    I don't like her too she is too selfish
  14. Toplady

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Zak is very beautiful. Priya is taking Rajesh for granted and that will cost her alot
Back
Top Bottom