Ninapenda kutoa malalamiko kuhusu huduma duni niliyoshuhudia katika Hospitali ya Aga Khan Iringa.
Nilimpeleka mke wangu siku ya Jumamosi majira ya saa 10:30 jioni. Tulipofika, tulikuta dada wa mapokezi akiondoka bila kutoa maelezo yoyote kwa wagonjwa waliokuwa wakisubiri.
Cha kushangaza...
Wakuu habar zenu
Nahitaji mtalamu wa kuchambua siasa na habari za kimataifa ili tufanye kazi katika Chaneli ya youtube , malipo ni makubaliano
Sharti awe mkoa wa mbeya
Vijana Kuweni kuna matapeli wamekuja na kampun Yao ya ku bet inaitwa FIC
Vijana weng wametapeliwa Kwa Sasa tena kuna Mtu katapeliwa million 500
Toka jana hao Vijana wanalia
Kama ukipata nafasi kutembelea wodi za wazazi pale Meta Mbeya utakuta kuna baridi kali katika wodi za wazazi.
Lakin jambo la kushangaza ukienda kwenye vyumba vya manesi unakuta kuna heater za joto ambazo zinafanya mtu ujiskie vizuri
Swali langu. Kwanini Uongozi wa Meta hospital wasiweke heater...
ili uweze tumia app ya nssf bila usumbufu
Nenda ofisin kwao ukamuone mtu wa registration ili afanye Ku update taarifa zako Kweny mfumo wa nssf hapo ata update namba ya simu na email yako
Kama huna ajira unaweza jiunga nssf kwa kupitia NSSF Hiyari
Awa jamaaa wanataka mtu awape story ya kusisimua kuhusu mikasa ya kimaisha
Story izo zitatumika Kama content za YouTube
Lakin pia watamlipa uyo mwenye story
Sharti uwe mkoa wa mbeya
Habari zenu wadau.
Naomba kupata elimu ya Biashara ya kunenepesha mbuzi ili nije kuuza kwa faida.
Nipo mkoa wa Mbeya.
Kama kuna mtu anafanya iyo biashara Naomba connection.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.