wale wa timu may nilikuwa ninawazo tutengeneze group ya Team may na iwe group hasaa tuwe twasaidiana kimawazo pia tutateua siku moja ya mwezi may na kufanya sherehe ya pamoja
walianza dada zetu kufanya operation za makalio, ikiaminika uzuri sio sura uzuri makalio. sasa na akinababa limehamia kwetu tumeona nondo kunyanyua zimekua nzito bora operation ya vifua Bandia.
=========================================
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.