Recent content by tonnylee

  1. tonnylee

    Msaada wa muundo wa barua ya kuhama kituo Cha kazi

    Wakubwa heshima kwenu, naomba kusaidiwa muundo wa barua ya uhamisho. Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi nataka nahama kutoka Halmashauri moja kwenda nyingine Binafsi sifahamu njia za kupitia ili nifanikiwe kwa haraka. Natanguliza shukrani za dhati kabisa
  2. tonnylee

    Nawezaje kujiendeleza Kielimu?

    Inakuwa Bei gani?
  3. tonnylee

    Nawezaje kujiendeleza Kielimu?

    Ahsante mkuu niko dar.
  4. tonnylee

    Nawezaje kujiendeleza Kielimu?

    Habari wana JF Nina umri wa miaka 30 nimeishia drs la Saba ila napata fursa nyingi sana lakini kutokana na elimu yangu ni ndogo Kuna baadhi ya fursa zinanipita naombeni msaada nawezaje kujiendeleza kielimu uku nikifanya shughuli zangu za kila siku.? Ahsanteni.
  5. tonnylee

    GE2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Nchi inaenda kuongezwa na mlemavu....
  6. tonnylee

    GE2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Ndoto za mchana,,,ukimchunguza vzuri MS anakadi ya CCM,,, So wake up broo,,!!
  7. tonnylee

    English learning thread

    Bring your dictionary English here and we will teach you more. I'm here to practice my English
  8. tonnylee

    Mitaala mibovu ya elimu ya Tanzania

    Katika dunia ya leo ya habari (information age) fedha ni muhimu sana. Je, ni kwanini mfumo wetu wa elimu hautoi fursa kwa wanafunzi kujua mfumo na tabia ya fedha katika dunia na uchumi wa kibepari (capitalism) ili kuzalisha watu huru (wanaojiajiri) badala yake mfumo wa elimu unatengeneza watu...
Back
Top Bottom