kwny tovut ya bod ya mkopo www.heslb.go.tz ko cha mcng nkuitembelea hyo kla cku kama kutakua na new post.pamoja na website ya UDOM www.udom.ac.tz 4 Joining instructions
wakuu naomba mnisaidieni mimi nilikua nafanya hizi application za vyuo lakini nilipokua najaza baadhi ya details pale lakini kila nikijaza ile payment transaction ID ilikua inatemwa naambiwa imeshatumika wakati naamini na ninauhakika hii ID hamna aliyeiona n mimi mwenyewe na yule wa cafe ambae...
Samahani wadau ivi kwa wale waliochaguliwa ile program ya diploma pale UDOM nao walihitajika kufanya application za mkopo na nilazima wafanyie uku.Kwa sababu kuna watu wameshafanya au watafanya kule kule chuoni? Naomba msaada wenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.