Maji ya Bahar yaliyosambaa kwa kias Kikubwa hvyo Yana high resistance hvyo resistance inapokua kubwa kiwango cha umeme kusambaa au kupita kinapungua kwahyo Jbu Lako ni kwamba mtu hawez Kunasa wala balbu haitowaka
In real situation unapomweleza mpenz wako aachane na KTU fulan hupendezew nacho den anakubaliana naww japokua afany vile ulvyomweleza alafu unakuja unagundua unamsameh anarudia tena .-- hapo INA maansha yule mwngne ananguv kulko wew ndomana usikilzwi kwahyo wew hapo unalazimisha mapenz na SKU...
Kiukwel huku n kurudsha nyuma maendeleo ya taifa zima na kuongeka kwa wimbi LA uhalifu kwan akishawatmua wataenda WAP,na watu washapoteza mda wapo vyuon s wengne watakaba sasa .mmmh ila shkamooooo sirikali yetu
Yaaah coz baada ya uchovu wa kutwa nzima unaporud nyumban unakua umechoka ila mtaweza kufanya tu coz ni kajtamadun fulan HV ila asubuh unakuta akil imeshatulia kwahyo kuna kua na kiuskivu fulan HV katk hlo zoez
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.