mdogo wangu wa mwisho kazaliwa 2004 nimemzidi miaka zaidi ya kumi ana futi 6.5 na mimi kaka yake eti futi 5.8 this is not fair, maza itabidi abanwe na aeleze kinagaubaga hii mbegu ya uyu dogo ni ya wapi
na utapanuliwa sana kuja kushtuka too late, unakuta dem anataka mwanaume mrefu alafu mwangalie yeye sasa ni mfupi kama wembe na utakuta hao anaowaona wafupi bado wakiongozana pamoja utakuta wamemzidi,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.