Serikali ikiwa na madeni mnalalamika, ikiwa inalipa madeni mnalalamika, kuwa upinzani ndio kukataa kila kitu au kukubaliana na vilivyosawa na kutoa ushauri wa nini kifanyike kwa kile ambacho mwaona hakipo sawa?!, kwa COVID mbona walisema tulioyumba sio sisi wananchi tu bali hata serikali...
Sawa mawaziri wapo walioongezewa 0.02% kwenye mshahara, ila kaongezewa per dem kutoka 120,000 mpaka 250,000, na mtu wa mshahara wa chini kapanda 23% na hao wapewao laki tisa au milioni wasio na per dem ndo waongeewe 20,000??
Okey, hiyo 23% imeongezeka kwa watu waliokuwa wanapata mishahara midogo, ni vizuri, lakini pia muangalie namna ya kuweza kushusha gharama za maisha, mana gharama za maisha zimepanda kwa watu wenye mishahara yote na sio wa kima cha chini pekee, japo kuna changamoto za magonjwa na vita inayoathiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.