Recent content by Tohoa

  1. T

    GE2025 Majina ya wagombea udiwani kata za wilaya ya Uyui Tabora

    Mbona walisema majina yote yarudishwe au mie nilielewa vibaya?
  2. T

    RC Chalamila alikosea na alipaswa kuomba msamaha sio kujieleza

    Mshana, kwani sela ya afya iko vipi kwa mama mjamzito Tanzania. Tusiweke mambo ya huruma kwenye sela. Kama umeshawahi kwenda hospital na mama mjamzito,utakubaliana na alichosema chalamila. Tatizo letu sisi ni ,mtu akitusanua kwa kusema ukweli, tunachonga ili bi mkubwa amtimue. Rejea kauli ya...
  3. T

    Wananchi Wakiamua Kupuuza jambo hata mkitumia nini haitasaidia Chochote

    Hii ni kwasababu watu wanamtaka lissu
  4. T

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama Mikocheni

    Mkuuu hili jambo kila mtu analijua Vizur. Hata wewe una upande lakin upande wako haupendwi na wengi.
  5. T

    Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

    Hii kisheria imekaaje!? Hawezi kishitakiwa na familia au serikali maana hizi ni Tuhuma nzito sanaa na kashifa kwa serikali. Vinginevyo labda kama kuna ushahidi wa kutosha.
  6. T

    Tuiombee sana CHADEMA

    Mshana wewe huwa ni mkweli kwenye maandiko mengi sanaaa. Hapa umenena.
  7. T

    Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?

    Kaka tunasubiri andiko lako kwa hamu sanaaa tundu lissu vs mbowe.
  8. T

    Kuishi bila kugusa mshahara wake,Makonda anastahili kutumbuliwa haraka

    Hapo ni tungo tata. 1) tangu aajiriwe hajawahi kuchukua kwenye account mishahara yake yote 2)Amechukua hela lakn watu wengine ndio wanatumia. Hapa nauliza swali lipi ni kosa hapo?
  9. T

    Naomba kujua sehemu gani ndani ya wilaya ya Ngara naweza kuwekeza kilimo

    Na mpango WA kuanza na hizi Tano. Lakn tageti ni kupata shamba la kununua pia
  10. T

    Naomba kujua sehemu gani ndani ya wilaya ya Ngara naweza kuwekeza kilimo

    Nina plan ya kulima mazao ya biashara alizeti au kahawa. Nimeshauriwa kwenda ngara. Wanasema Kuna Hali nzuri ya hewa inayo supoti mazao tajwa hapo juu. Niliwahi kufika ngara Mara 1 na nikakaa siku 2 ngara mjin. Sijui chochote kuhusu upatikanaji wa mshamba kwa ajiri ya kilimo. Naomba msaada...
Back
Top Bottom