Habari wanajamii, Naomba kama kuna mtu yeyote ana taarifa kuhusu kutoka kwa majib ya scholarship za sultanet of oman tulioaply toka tareh 11 mwezi wa 8 kupitia wizara ya elimu.
Uliyetoa tangazo huna hakiri! Freelancer sales ndo nin? Imefanya nini? Au hata hujui maana ya vacancy. siku nyingine jieleze kama wewe ni nan,? Freelancer,Teamleader au cordinator, unafanya kazi mtandao gan? Sehemu gan? Mshahara ni sh. Ngap? na eleza shida yako unataka watu wenye sifa gan? Na...
Kwa ambao mmeshapga simu tukutane jumanne ofisin kwa ajiri ya usaili. Malipo yanatokana na commission yako. Kwa maelezo zaidi piga simu hzo namba hapo juu
Kampuni ya simu za mkononi zantel inatangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo
Eneo 《Dar es salaam
Sifa 《.Elimu kidato cha nne(iv)
.Umri miaka 18-25
.Uwe na uwezo wa kujieleza
Wajibu 《kuwafundisha wateja huduma za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.