Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
HII NI BARUA YA WAZI KWA DAWASA na KWA MAMLAKA HUSIKA.
IDARA YA FEDHA/Ofisi ya Finance (DEPARTMENT OF FINANCE) YA DAWASA Inayoongozwa na Mkurugenzi mhe. Sais Kyejo, ni Idara ambayo Inanyanyasa sana Watumishi wa Dawasa, Na kuwadhulumu...
Nasalimu kwa jina la Jamhuli ya muungano wa Tanzania.
Tungependa kutoa dukuduku letu, na malalamiko yetu ambayo yanatokana Manyanyaso na Mateso ambayo yanafanywa na taasisi ya DAWASA (Shirika la Serikali inayo huduma ya Majisafi Dar es Salaam na Pwani).
1. Dawasa inakawaida ya Kutumia Vibarua...
Habari za mda huu,
Tunapenda kutoa Malalamiko yetu sisi wafanyakazi na viongozi wa wafanyakazi, (sababu hatuna sehemu ya kwenda kusemea, kwani kila sehemu DAWASA imeweka mkono wake na kuzuia sauti zetu).
DAWASA, shirika la Maji Dar es Salaam na Pwani. Ni shirika lililo chini ya Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.