Tafadhari nauza kuku wa kienyeji kwa jumla,wana kilo, 1.2, kg 1.3kg,1.4 au zaidi kg.naweza supply hata zaidi ya 700. per wiki. mie nipo morogoro vijijini karibu na dakawa. bei ni kuanzia 12,13,14.baada ya wiki nasupply kwani nipo vijijini. nataka kuwauza hawa nifuge chotara.anayetaka call me...