Recent content by toda tov

  1. T

    Mama Mgwhira asisitiza kwamba hajaachia Uenyekiti wa ACT Wazalendo hadi Juni 15

    Kweli kabisa, hapo ndio pa kuanzia Madam.
  2. T

    Magufuli versus Tundu Lissu; yupi unamwamini kwenye sakata la makinikia?

    Sio kumwamini Lissu bali namwelewa kwa kigezo cha hoja zake. Magufuli zaidi ya kofia ya u-Rais hana hoja wala hekima. Suala la kusema "nina uchungu.....mimi ni mtetezi wa wanyonge......nina uzalendo..." ni extremely vague at best.
  3. T

    Prof. Baregu: CHADEMA tuko wamoja

    Safi, vita mbele kwa mbele tu. muda huu ni wa vitendo kumng'oa mdhalim mweusi!!!
  4. T

    CCM wacharuka,sasa ni mguu kwa mguu kumkaba kamanda Mawazo na timu yake

    Well done CHADEMA. Well done Mawazo!
Back
Top Bottom