Recent content by tobiasi

  1. T

    JamiiForums Tanzania Je, huyu Rais wetu wa sasa ni Vasco Da Gama mwingine? Ziara za nje zimekuwa nyingi sana kama enzi za Awamu ya Nne

    Wafute kwanza hiyo kasi yao ya ugaidi wa michongo ili wawekezaji waje kuwekeza wakiwa na amani ya moyo,na uhakika wa usalama wa uwekezaji wao.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa wapi leo bila Rais Samia?

    Watu wa ajabu sana hawa.Hata hawaeleweki wanasimamia nini.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Spika Mstaafu, Job Ndugai?

    Nimefurahi kuwa Ndugai amekuwa pia mwathirika wa hii Katiba Mbovu.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka Luteni Urio anaenda kuharibu ushahidi dhidi ya Mbowe na wenzake 3. Fact hizi hapa

    Kama Kingai na Urio wametoka kapa kiasi hicho,huko mbele ni aibu isiyopimika.Sijuwi mtaficha wapi nyuso zenu upande wa utetezi wakianza kutoa ushahidi wao.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kumbe Khalfan Bwire na wenzake ndio walikuwa Walinzi wa Tundu Lissu wakati anaingia Tanzania Julai 28, 2020?

    Unadhani watu wote ndani ya malamka wakiwemo hao makomandoo wala roho ya kishenzi?.Au unadhani aliyemwambia Tundu Lisu akimbiliea ubalozini ni raia wa kawaida?.Nchi imeharibiwa sana.Mwenyezi Mungu atusaidie.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa JMT msipompa 'Uspika' Dkt. Tulia Ackson hakika 'nitawadharau' mpaka dunia itakapopinduka

    Kwa mfumo uliopo mbunge yoyote wa CCM anaweza kuwa Spika.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Natoa siku 7 waajiri kuwalipa Waandishi wa Habari waliofariki kwenye ajali. Tambueni tu leseni zenu ziko kwangu

    Shida wanatawala,hawaongozi, hivyo amri sizizo za kufikiri imekuwa sehemu ya utawala wao.AMRI.
  8. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

    Wala huhitaji kumfanyika YEYE kampeni.Uongozi(SIYO UTAWALA) wake kwa watanzania ndiyo utakaoamuwa hatma yake ya uongozi.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

    Hakika.Hawa jamaa wamezidiwa sana kimkakati na CDM, hawana namna nyingine zaidi ya kutumia hivyo vyombo kama alivyosema Bashiru.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nilitahadharisha hapa kuwa 'Kesi' imemkalia vibaya 'Mwamba' na hachomoki kirahisi nikaishia Kushambuliwa

    Mkuu bahati nzuri unafahamu kuwa ni kesi ya Kimkakati.Maana yake sheria siyo kipaumbele kwao.Jana imedhibitisha hivyo.Kwa hiyo, ushauri au maoni yako yasingesaidia chochote kwa kuwa wenye nia OVU tayari wanamaamuzi yao. Lakini imeandikwa,mshahara wa dhambi NI MAUTI,walipaswa wawe wamejifunza.
Back
Top Bottom