Samahani wakuu nani anafaham viwanda vya samaki mwanza huwa mara nyingi vinanunua samaki kilo kwa bei gani?
Ukitokea mtu una labda tani tano za sato au sangara
Kuwa mkweli hivi uli survive vipi kile kipindi unemaliza chuo,umekaa nyumbani Kama miaka miwili hivi haujapata ishu ya maana, na hata vitu vyako vidogo ulivokua unafanya vilifeli.
Ulifanyanye ilipofika kile kipindi hata wale wanao wa karibu walianza kukukataa kuona kwamba utakua mzigo...
Habari, natumaini uko salama na Leo nataka niongee na wazazi ambao Wana watoto ambao wamemaliza chuo na wako nyumbani bado hawajapata kitu maalumu cha kuwaingizia kipato.
Uzi unaanza..wazazi wengi ambao wana watoto waliomaliza chuo sasa hivi wengi wao ni wazazi ambao walikua wanaamini sana...
Kwenye ishu ya fixed acc..bank huwa zina tofautiana kwenye return ya investment ya namna hiyo(japo hazitofautiani sana) ..hii mara nyingi kwa sababu ni mkataba manake hata return yako itakua fixed in terms of % ambazo mmekubaliana (though Kuna banks zina condition nzuri zaidi) mf crdb ukiwa na...
Habari,naitwa Titus Devis.. karibu sana tuongee kuhusu viwango vya riba au interest rate kwa lugha ya kigeni
Kwanza kabisa tuanze na viwango vya riba ni nini (what is interest rate)
-Viwango vya riba ni kiasi cha pesa ambacho kinaongezeka kwenye pesa ambayo mkopaji amekopa baada ya muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.