Recent content by Tlaatlaah

  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania As soon as possible Chadema itaanza rasmi kupitisha bakuli la michango ya pesa kutoka kwa wadau mbalimbali wa siasa Tanzania.

    Ok. andaa pesa ya tone tone mpya tafadhali gentleman na itapendeza zaidi 🐒
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania As soon as possible Chadema itaanza rasmi kupitisha bakuli la michango ya pesa kutoka kwa wadau mbalimbali wa siasa Tanzania.

    kua chama chochote cha siasa sio issue gentleman, hiyo ni haki na uhuru wako, but, binafsi nimetekeleza wajibu wangu wa kukuandaa kisaikolojia dhidi ya tone tone inayokuja, isije ikawa surprise 🐒
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania As soon as possible Chadema itaanza rasmi kupitisha bakuli la michango ya pesa kutoka kwa wadau mbalimbali wa siasa Tanzania.

    Ok muerevu, calm down bas na itapendeza zaidi 🐒
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania As soon as possible Chadema itaanza rasmi kupitisha bakuli la michango ya pesa kutoka kwa wadau mbalimbali wa siasa Tanzania.

    Kamati kuu ya chadema taifa bado haijaweka wazi kua bakuli la michango ya pesa litakua live au vile vile mtaa kwa mtaa au mitandaoni. tuvute subra gentleman, but tone tone mpya inakuja as soon as possible, plz be prepared 🐒
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania As soon as possible Chadema itaanza rasmi kupitisha bakuli la michango ya pesa kutoka kwa wadau mbalimbali wa siasa Tanzania.

    sawa mwalimu joni, mimi ni mmatumbi, kiingereza bado najifunza kidogo kidogo, kama ambavyo pia najifunza kisukuma hivi sasa. hata hivyo, ni muhimu kujiandaa kikamilifu kwaajili ya tone tone mpya ya chadema na itapendeza zaidi. Nadhani thread inayofuata ntaiandika kwa kisukuma nione tena utakua...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania As soon as possible Chadema itaanza rasmi kupitisha bakuli la michango ya pesa kutoka kwa wadau mbalimbali wa siasa Tanzania.

    andaa mkwanja gentleman plz kwajili ya tone tone mpya, huna haja ya kumpiga kamba kindezi hivyo mdau huyo wa heshima sana wa Jf 🐒
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania As soon as possible Chadema itaanza rasmi kupitisha bakuli la michango ya pesa kutoka kwa wadau mbalimbali wa siasa Tanzania.

    Ok gentleman, but ni muhimu zaidi kujiandaa vema kwasababu tone tone mpya inakuja as soon as possible. Andaa pesa kamanda 🐒
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania As soon as possible Chadema itaanza rasmi kupitisha bakuli la michango ya pesa kutoka kwa wadau mbalimbali wa siasa Tanzania.

    msipotoshane jukwaani gentlemen, andaeni pesa tone tone mpya inakuja as soon as possible 🐒
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania As soon as possible Chadema itaanza rasmi kupitisha bakuli la michango ya pesa kutoka kwa wadau mbalimbali wa siasa Tanzania.

    acha porojo na upotoshaji gentleman, jiandae kikamilifu plz, tone tone ya aina mpya inakuja as soon as possible 🐒
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania As soon as possible Chadema itaanza rasmi kupitisha bakuli la michango ya pesa kutoka kwa wadau mbalimbali wa siasa Tanzania.

    Just relax gentleman, punguza mihemko na kumbwelambwela vitu useless jukwaani na itapendeza zaidi. Jiandae kwa tone tone mpya plz 🐒
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania As soon as possible Chadema itaanza rasmi kupitisha bakuli la michango ya pesa kutoka kwa wadau mbalimbali wa siasa Tanzania.

    Acha porojo useless na upotoshaji jukwaani gentleman, jiandae kwa mchango kwaajili ya matumizi ya viongozi wakuu wa chadema taifa na matumizi mengine ya kawaida. hakuna haja ya makasiriko gentleman 🐒
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania As soon as possible Chadema itaanza rasmi kupitisha bakuli la michango ya pesa kutoka kwa wadau mbalimbali wa siasa Tanzania.

    Tuliza mihemko useless jukwaani gentleman, andaa pesa kwaajili ya kuwachangia viongozi wa kitaifa wa chadema na maendeleo ya chadema kwa ujumla. punguza makasiriko na itapendeza zaidi 🐒
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania As soon as possible Chadema itaanza rasmi kupitisha bakuli la michango ya pesa kutoka kwa wadau mbalimbali wa siasa Tanzania.

    Ok, relax bas na upunguze mihemko na porojo jukwaani, jiandae kukichangia pesa chama na itapendeza zaidi 🐒
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania As soon as possible Chadema itaanza rasmi kupitisha bakuli la michango ya pesa kutoka kwa wadau mbalimbali wa siasa Tanzania.

    sasa mbona unanikasirikia gentleman? si ujiandae kwa kukichangia pesa viongozi wa kitaifa wa chadema na chama chako bila makasiriko na itapendeza zaidi? au wewe ni miongoni mwa wale wagomaji wa milioni 334?🐒
Back
Top Bottom