Recent content by Tkally

  1. T

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wakuu nimepoteza vitambulisho vyote vilikuwa kwenye wallet..na nahisi soon naeza kuwa shortlisted sasa bila kitambulisho nawaza kama barua ya serikali za mitaa wanaweza kukubali mwenye experience tafadhal..,
  2. T

    Nifanye nini kuhusu changamoto hii ya usaili?

    System haiwezi kumgundua kwasababu details zake Kama vyeti itakuwa Kama pdf tu yenyewe inachozingatia ni sehemu zinazohitaji kujazwa zimejazwa
  3. T

    Nifanye nini kuhusu changamoto hii ya usaili?

    Jamaa kafanya vitu ambavyo system yenyewe inaweza kushangaa
  4. T

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kada gani kwanza wewe...Kama ni ICT punguza kidogo
  5. T

    Nifanye nini kuhusu changamoto hii ya usaili?

    Uliwezaje kufanya kitu kama hiki ndugu? Kuna Mambo mengine ni miracle etii..vijana mna hekaheka sana[emoji23][emoji119]
  6. T

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nitakucheki ndio kada zangu izo mkuu
  7. T

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuu hongera sanaaa the wait is over
  8. T

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Aiseeeeeeh Kuna watu nmewaona kwenye mkeka kipindi mi nipo first year wao wapo forth year TE&CE Leo wameulamba aiseeeh tusikate tamaa hapo naongelea 2016 mtu kaja kulamba asali 2024 tusikate tamaa tupambane wakuu[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
  9. T

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Keep on clapping for others untill is your turn. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] But never forget KUPAMBANA [emoji123]
  10. T

    Nani ameshawahi kupata Kazi au internship kupitia TaESA (Tanzania Employment Agency)?

    Wakuu Kuna mtu ashabahatika kupigiwa simu kwa walio fanya interview January hasa kwa Kanda ya Kati?
  11. T

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Inagoma sehemu gani mkuu
  12. T

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mi nilikuwepo Dom naona matokeo bado hawajaweka
  13. T

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ulikuwa Kanda gani mkuu maana wengine bado hawaja upload matokeo
  14. T

    Nipo Dodoma nisaidieni kibarua chochote

    Ni kweli mshua mi Kuna kiwanda kinajengwa mitaa ya veyula ndani ndani kutoka stend Kama kilometer 2 au 3 ivi nimesotea wiki 2 bila bila mzee ni headache
Back
Top Bottom