Recent content by titusLeon

  1. titusLeon

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame na Ramaphosa

    Africa unafiki hautaisha haijapita hata miezi sita tangu wanajeshi wake wauwawe na m23/RDF leo wanapiga story like nothing happened
  2. titusLeon

    JamiiForums Tanzania Marekani anauza Nini mbona amemuacha mbali sana China Kwa GDP

    Marekani kwenye teknolojia bado yupo juu startup zake zipo nyingi ambazo zinaoffer services nyingi sana world wide na zinamuingizia ela nyingi sana hizo maglev China anauza wapi? Japo siku za mbeleni zitamlipa tu sio hizo trains tu mpaka kwenye ship buildings na auto industry China anafanya...
  3. titusLeon

    JamiiForums Tanzania Noordin Haji: Mpaka wa Tanzania na Kenya tu ndio uko salama kwa sababu Tanzania ni nchi ya Amani

    Wapo Salama sababu hatuna magaidi ndani ya mipaka yetu Ila ukifuatilia vizuri kwa miaka ya hivi karibuni Tanzania imekua imechangia idadi kubwa ya magaidi kwenye nchi za wenzetu kuanzia msumbiji, somalia huko kenya etc Kwahiyo ni swala la muda tu kabla hawajaamua kurudi nyumbani kaman...
  4. titusLeon

    JamiiForums Tanzania M23 yaua wanajeshi 3 wa Tanzania huko Goma DRC

    Naomba nijibu a very simple question M23 unauhusiano wowote na RDF au vipi?
  5. titusLeon

    JamiiForums Tanzania M23 yaua wanajeshi 3 wa Tanzania huko Goma DRC

    Kitu ambacho mi sielewi inawezekana vipi jeshi la DRC, South Africa na TPDF combined tunashindwa kuwadefeat hawa m23 mtu anieleweshe vizuri mana jeshi letu limekaa zaidi ya nusu mwaka huko
Back
Top Bottom