Meanwhile National Prosecution agency is the most politicized and corrupt institution in our criminal justice system. CJ’s remarks are as good as crocodile tears. He knows the discourse very well, can’t stand a chance to unfold status quo! Maneno. Maneno. Maneno.
Ndugu yangu. You don't have to be bitter on this. Mdude ni mshirika wangu. Ni ndugu yangu. Kwa taafifa: hakuna mamlaka yoyote iliyomtamka komredi Mdude kuwa mhalifu hadi nukta hii. Na hata akitamkwa kuwa mhalifu, haimuondolei ubinadamu wake. Na siwezi kumkana kwaajili hiyo. Ukimnyooshea kidole...
Asante, na pole kwetu sote, ndugu yangu! Kuna mambo yakizungumzwa kama yalivyo tutakataana na kutafutana. Lakini itoshe kusema kwamba Taifa hili ni letu sote, tushiriki kulifanya kuwa sehemu salama kwa kila mmoja wetu. Hatuna sababu ya kuacha kuishi kwa furaha wakati tukijua shida iko wapi...
Utamaduni wa kutokusoma unatutafuna. Hatufuatilii masuala hadi tuyasikie upande wa pili. Ni muhimu sana kufahamu nani anafanya nini, katika nini, kwa mfumo upi, wapi na kwa nini!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.