Ukweli ni kwamba sisi kama wananchi na sisi ndiyo tunawalipa mishaaara kutokana na kodi zetu tuna aki ya kuuliza na kujuwa Mkuu wetu yuko wapi tena ikizingatiwa ni kipindi cha uchaguzi. Wausika tunaomba kujua ukweli araka kabla ya Oct 25.
Kwani kuna ubaya gani akijitokeza ata kukagua mradi wa...
Lengolake ni kuondoa mfumo mbovu wa kisultani uliochini ya CCM for more than 50yrs. Yes kama Mtanzania anaona amenyimwa akiyake ya kimsingi, ngoja ajaribu kwengine.
Wakuu utabiriwangu umetimia, sasa uyu ndiye Rais. Nimeamini CCM awamtaki Lowassa kabisa, huu ni msiba kwa team lowassa, uyu Mzee amelazimishwa sana baada ya kukataa for more than 5 times, finaly amekubali shingo upande.
Wakuu viongozi wa kisiasa ndiyo wausika wakuu, wanakwenda kwa waganga wanatumwa viungo vya albino ili waweze kufanikiwa mambo yao, ndiyomana akuna wa kukemea au kufatilia ili swala. Inabidi sisi wananchi tuweze kuungana ili kuliangalia jambo ili kwa ukaribu.
Kunajamaa alisema alipewa deal na...
Inaonyesha unamjuwa sana uyu jamaa, au wewe ndiye mkewake. Umejuwaje ndoa imemshinda au chuki binafsi!! aujazuiwa kugombea kama unaona unauwezo na wewe uko uhuru kutangaza nia, usijaribu kumsema mtu kwa ushabiki au chuki binafsi.
Nauakika uyo Kijana anaweza kufanaya mambo mazuri akiwa mjengoni. Kila binadamu anamapunfu yake, akuna aliye 100% perfect. kama anataka kutangaza nia ni sawa akuna mtu mwenye ati miliki ya Uongozi. Go Jerry.
Mimi Titan nimeangalia kwa kina jinsi CCM wanavyo zidiwa nguvu na ukawa nikaona karata yamwisho waliobakiza ni Mzee Agustino Ramathani aweze kugombea urais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Zaidi ya apo CCM wataangukia pua october 2015
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.