Recent content by Tira

  1. Tira

    Nani yupo sahihi,Afande Sele au Mrisho Mpoto?

    Mleta mada ameuliza nani yupo sahihi kutokana na maelezo yaliyotolewa na hawa wasanii wawili na mimi nimejibu baada ya kusoma maelezo yao, labda jibu langu lingekuwa tofauti kama Mrisho Mpoto angesema mwenyewe kuwa hakutoa wasanii, badala yake amemjibu kwakutolea mifano ya baadhi ya wanaharakati...
  2. Tira

    Nani yupo sahihi,Afande Sele au Mrisho Mpoto?

    Afande Sele yupo sahihi kwasababu hoja kubwa hapo ni kuwatoa baadhi ya wasanii wa Tanzania na kumuweka msanii wa Congo Bella, unawatoaje wasanii wenzio kwasababu ya msanii mwingine ambaye hata si raia na kuita ni uzalendo hii si sawa.
  3. Tira

    Mnyoosho unaendelea: Diamond ashinda tuzo African Achivers Awards usiku huu

    Labda nisaidie kuemwaelezea wale wanaosema hizi tuzo za kununua au si za maana kwasababu hakushindanishwa na baadhi ya wasanii wengine wa Afrika, ukirejea ile barua iliyowahi kutolewa na uongozi wake ilionesha katika kipengele alichokuwa Diamond kulikuwa na wasanii wengine wengi tu na mchujo...
  4. Tira

    Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

    Haya Sugu amezungumzia hilo swala bungeni tena baada ya kumsikikiza mimi binafsi nimemuelewa, licha ya kupewa haki ya kuchukua mtoto bado hajafanya hivyo na mtoto yuko kwa mama yake akitegemea pia wakae zaidi na kuangalia jinsi ya kufanya, kwa wale tunaosikiliza upande mmoja na kutoa hukumu si...
  5. Tira

    Msaada: Kukatwa mguu inagharimu kiasi gani Muhimbili?

    Pole sana jamani yaani nimesikitika mpaka machozi, Mungu awe nanyi katika kipindi hiki kigumu
  6. Tira

    Ugonjwa wa Masundosundo mwilini na sehemu za siri (Genital & Skin Warts)

    Tafadhali naomba unielekeze kuhusu hiyo Keloid yaani vyote viwili vinafanyika kukatwa na kuchomwa sindano au kimojawapo, naomba unipe contact ya hospital inayofanya vizuri nataka nimpeleke mdogo wangu yaan kinamboa na yeye alitoboa akiwa mkubwa kikatokea hicho kinundu ila ndo hatujui pa kuanzia...
  7. Tira

    Hidden cancer cures

    Je kansa iliyokua inatibiwa na madawa ya hospital/ kwa njia za kihosptali hutibika kabisa?
  8. Tira

    Hidden cancer cures

    Ndo maana kwenye baadhi ya vipodozi wanaandika vna vitamin B17 ooohhhoo sasa nimejua kitu, thank you
  9. Tira

    Msaada: Nataka kuweka meno ya bandia ya kudumu, inawezekana?

    Amehama muda nadhani huu utakuwa unaenda mwaka wa pili, alijaribu kuwataarifu baadhi ya wateja naona alokuwa na namba zao
  10. Tira

    Msaada: Nataka kuweka meno ya bandia ya kudumu, inawezekana?

    Dr. Akim amehama pale, kahamia Samora Avenue-NHC House 9th floor Room 918 ( Akim Dental Service )
  11. Tira

    Msaada: Nataka kuweka meno ya bandia ya kudumu, inawezekana?

    Dr. Akim amehama pale, kahamia Samora Avenue-NHC House 9th floor Room 918 ( Akim Dental Service )
  12. Tira

    Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

    Warumi ngoja nisaidie kuelewesha ni hivi Deception amesema UKIMWI/AIDS na tena ulikuwepo tangu zamani ila asichokubaliana nacho ni kuwa Ukimwi hausababishwi na VVU/HIV kwasababu VVU ni kirusi kisichonauwezo wa kupunguza kinga mwilini ( kutokana na taarifa za kisayansi) sasa unapogundulika kuwa...
  13. Tira

    Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

    Mimi binafsi kuna kitu kimenifungua akili, aunt yangu alikuwa na mgogoro na mume wake aliyekuwa na mahusiano nje ya ndoa muda mrefu tena ulifikia pabaya baada ya mumewe kuzaa na mmoja wa wanawake zake, kukafanywa vikao mume akaomba msamaha ila aunt akasisitiza hatoweza shiriki naye tendo la ndoa...
  14. Tira

    Very Sad: Jinsi Familia yote ya Luther Vandross ilivyotoweka

    OMG very Sad, inaelekea walikuwa na kisukari cha kurithi, mi ni shabiki wa nyimbo zake
Back
Top Bottom