Recent content by tipwatipwa

  1. T

    JamiiForums Tanzania Vivuko vya Azam pale feri Dar es salaam kuna dalili za Ufisadi

    Umesema kitu cha maana sana..waanzishe route za kuja mbezi nk..itasaidia wengi kupunguza garama za mafuta ya magari na kuleta unafuu wakati huu mgumu
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tulioangalia mpira kupitia TBC

    Dah nilifikiri ninaumwa macho na mm!!!iliniumiza macho. Poor/blurred vision ..ila mwanzo mzuri..walitizame na hili
  3. T

    JamiiForums Tanzania Afande Sele: Tozo zimekuwa nyingi na hazionekani zinafanya kazi gani

    [emoji35][emoji35]
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ukifa, usijali kuhusu mwili wako...!

    I feel u Mr Mshana.. my. mom succumbed to covid.. so painfully despite my self being specialist MD.. pole sana
  5. T

    JamiiForums Tanzania Hii Taarifa ya NHIF kama ni ya kweli basi Tanzania tuna tatizo

    Naunga mkono hoja.. Kuna is ishu pia Mbaya sana upande wa watoa huduma especially Drs.. Eti kuanzia sasa NHIF wamekataa kulipia consultations na kufikia hatua ya kuzikata kisa wamelink na Medical council Tanganyika MCT ambao wamewapa majina ya madaktari wote waliosajiliwa Ila hawatakiwi...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Makofi mengi bungeni kwa Ndugai yanamaanisha nini?

    You're very right
  7. T

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Pole Sana ..inaumiza sana
  8. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atinga Kariakoo kutafuta mahitaji

    I am commenting for the first time.. u have made my day Sir!!IAM so happy today .. Sent from my CPH2043 using JamiiForums mobile app
  9. T

    JamiiForums Tanzania TRL Saga: Indian tycoons demand Sh177 bn as the`divorce` cost

    Jamani mie sielewi kwa nini tusiwashugulikie kwa kuwashitaki wale wote waliotuingiza ktk mkenge kama huu..au kuna dili ili kuua reli ili tutumie malori na mabasi ambayo ni garama sana?
Back
Top Bottom