Recent content by Tinsley

  1. Tinsley

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Habari Poker How is weekend
  2. Tinsley

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Hatari sana yaani Tushukuru camera zinapendesha .
  3. Tinsley

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Amen kapokea 😀😀
  4. Tinsley

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Tunapenda kupokea feedback nzuri hizo mbaya lazima utajuta Kama picha ikiwa na filter halafu aseme oooh sijui nn inauma . Naonaga wengine wanasema mnasema kisa filter na nyie pigeni tuone kama mtakuwa hivyo .
  5. Tinsley

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Ukipokea unaonekana fulani hivi kwa hiyo unazuga , ila unapokea kimoyo moyo since ni public .
  6. Tinsley

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Ah camera tu hizi 😀
  7. Tinsley

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Twende siku for a walk Pana kaupepo hatari 😀😀
  8. Tinsley

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Sijawahi onanaa na madam wa aina hii tena na ni joblesss 😀😀😀 Thank you ,
  9. Tinsley

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Ah wapi , sina kabisa hiko cheo Hata ofisi sina 😀😀😀 Nipo poa vipi wewe ? Nimekumiss mr .vocha pia .
  10. Tinsley

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Shikamooo Habari yako ?? Nina umadamu gani ?
  11. Tinsley

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Spoil yourself eeeh You deserve it .
  12. Tinsley

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Hizo buti nzuri sana jirani .
  13. Tinsley

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Hahaaa safi sana , kaa ujipange Nikienda nyumbani naona nabanwa yaani 😀😀
  14. Tinsley

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    No hapo ndo kabisa Sipendi taa , inaniumiza macho
Back
Top Bottom