Nasikitika tu kwamba wabune wetu wa ccm wanadhani eti wananchi wa mtwara hawawezi kufanya kilichofanyika, lazima kuwe na mkono wa mtu. haya ni matusi kwa wana mtwara kwani ni sawa na kusema wanamtwara hawajitambui, hawajui haki yao, hawajui wanachokitaka na kwamba wao ni watu wa kupokea tu. CCM...