Recent content by TIMWILI

  1. TIMWILI

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa DCI, Diwani Athuman

    Hapo mzee uko sawa maana wewe ulisema asiyeweza kwenda na speed yako bora ajitoe mwenyewe. |
  2. TIMWILI

    JamiiForums Tanzania Hili la Arusha linahitaji mjadala mpana, ukisoma barua ya wafadhili utajifunza mengi

    Kwa kitendo cha Lema kuleta taflani hadharani si jambo la busara hata kidogo kwani unapokuwa kiongozi unatakiwa kwanza uwe na moyo wa uvumilivu. Naomba wamalize tofauti zao kwani ni za muda mrefu sana. Wakumbuke kuwa wao ndio wenye dhamana kubwa sana na wananchi wanaowaongoza. Ikiwa viongozi...
  3. TIMWILI

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mkinga

    Sasa zamu yetu wasomi wa mtaani inakaribia walijisahau sana walijiona wanapokuwa madarakani ndio wao. ni wakati wa kujutia uongozi matumaini yangu kwa speed hii itafika wakati mtu anateuliwa kushika wadhifa Fulani then anakula sabuni kama kipindi cha Tz na Uganda 78/79
  4. TIMWILI

    JamiiForums Tanzania Afariki kwa ajali ya 'ungo' jioni hii

    Hapo kuna mambo mawili, huenda ndege iliishiwa mafuta ama ilipita anga sizo itatunguliwa
Back
Top Bottom