Recent content by timothy harun

  1. T

    Msaada simu yangu inasoma laini ya airtel

    Sijui PIN ake mkuu! Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
  2. T

    Msaada simu yangu inasoma laini ya airtel

    Nimekua nikihangaika sana wakati ninapotaka kubadilisha laini za mitandao mingine kwenye simu yangu upande wa sim1, kila nikiweka huwa kuna maneno yanayojitokeza kama hivi " SIM1:unlock network PIN" ila kwa sim2 hakuna tatizo huwa naweka laini yeyote tu! Sent from my HUAWEI LUA-U22 using...
  3. T

    Njia ipi ni rahisi kwa kujipatia pesa halali kwenye mitandao?

    Nimeangalia,kutathimini na kujihusisha kwenye biashara mbalimbali, nimeona changamoto ya kila biashara ambayo nimekua nikiifanya,hivyo nataka kuangaza tena kwenye biashara ambazo zinaweza kufanywa na kujipatia pesa za kukidhi mahitaji ya kila siku,lakini nimeshindwa nianzie wapi wapendwa wangu...
Back
Top Bottom