Recent content by Tila-lila2

  1. T

    JamiiForums Tanzania Lissu hapa umetupotosha na kumdanganya Umma

    Lissu kafanya makusudi ili JPM atokeze kujibu mwenyewe!
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nawafananisha Wafanyakazi na Wajumbe fulani hivi

    Yaani kuanzia zoezi la Uchaguzi limeanza nimekuwa nikiwahoji wafanyakazi kijanja janja kujua kama watampigia kura nani - kuanzia Urais hadi udiwani. Kwa wafanyakazi kama 35 ambao nimewahoji kata ya Idukilo kwa kweli wanagugumia moyoni na kichini chini tu. Wote kwa URais kwa kweli wamekichoka...
  3. T

    JamiiForums Tanzania CCM yangu tunazidi kuonesha ushamba! Sio kupigiwa kura tu hata kukihama CCM sasa nipo tayari maana tunachukiwa kweli!

    Tuvumilie tu hii mitano ipite tuje tuchukue sisi!
  4. T

    JamiiForums Tanzania CCM yangu tunazidi kuonesha ushamba! Sio kupigiwa kura tu hata kukihama CCM sasa nipo tayari maana tunachukiwa kweli!

    Utakuwa upopoma pia kushindwa kuona tumekuwa washamba! Mkiendeleza ushamba tutahama tu - anyway kwa sababu hainiathiri sana - ninaweza kuvumilia miaka mingine hii mitano ya ushamba ipite! Tutachukua nchi CCM tusiopenda misifa!
  5. T

    JamiiForums Tanzania CCM yangu tunazidi kuonesha ushamba! Sio kupigiwa kura tu hata kukihama CCM sasa nipo tayari maana tunachukiwa kweli!

    Ndiyo maana tumekuwa tukiitwa "watawala washamba" - hii ni kweli kabisa kabisa! Tena ninashuhudia jinsi tunavyochukiwa - hatuoneshwi wazi lakini CCM wenzangu ukweli ni tunachukiwa kweli kweli! Tunajaribu kuminya uhuru wa vyombo vya habari - lakini simu hizi ndiyo zinatumaliza zaidi. Watu...
  6. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna dalili CCM itawakata wengi walioongoza na hawataweza kwenda upinzani

    Hili linawezekana kabisa!
  7. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna dalili CCM itawakata wengi walioongoza na hawataweza kwenda upinzani

    Achana na siasa wewe! Hata hao ambao ni wagombea wanaweza wakapewa dau wakapisha miCCM. Achana kabisa na majizi ya CCM wewe! Kama waweza kununua wajumbe zaidi ya mia tano watashindwa nini kumnunua mtu mmoja!
  8. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna dalili CCM itawakata wengi walioongoza na hawataweza kwenda upinzani

    Wanapanga madeal ya kuuziana nafasi! We subiria uone!
  9. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe au Lissu msisahau kuusema uozo wa "undugunaization", tribalism na nepotism wakati wa Kampeni

    Mtoto wako atakuja kuwa na akili zaidi yako katika kuwa rational
  10. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe au Lissu msisahau kuusema uozo wa "undugunaization", tribalism na nepotism wakati wa Kampeni

    Mbona hao akina Yona na Mramba bado wanatafuna jasho lao kisawa sawa! Unajua wanavyoishi?
Back
Top Bottom