Recent content by TikTok2020

  1. T

    JamiiForums Tanzania Peter Msechu kupewa nafasi ya kutumbuiza Zanzibar?

    Hata ubatizo ni Ibada lakini kuna sherehe
  2. T

    JamiiForums Tanzania Peter Msechu kupewa nafasi ya kutumbuiza Zanzibar?

    Tutosheherekea inasaidia nini?????
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ubabe wowote ule kuhusu suala la NHIF utazidisha mgogoro

    Ukweli mtupu serikali isilete ubabe kwenye suala la msingi la afya
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mwinyi ndiye Rais bora kuwahi kutokea katika Taifa hili, anaondoka wala hatuna kinyongo nae

    Una uhakika gani?mateso wanayopitia wamasai Ngorongoro utadhani hawana kinyongo nae?
  5. T

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Ali Hassan Mwinyi kwa mambo gani?

    Ni Mtazami wako tu mtoa hukumu ni Mungu acheni porojo
  6. T

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya hospitali binafsi zilizotangaza kutotoa huduma kwa wateja wa NHIF kuanzia 1/3/2024

    HAKIKA ....kila kitu kiko ICU Umeme,Maji,Dola,Mafuta,Vitunguu,Mfumuko wa bei
  7. T

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya hospitali binafsi zilizotangaza kutotoa huduma kwa wateja wa NHIF kuanzia 1/3/2024

    Baadhi ya hospital binafsi zimeshaweka matangazo kama yanavyosomeka hapo juu Nini sulihisho la hili?tiririka ili serikali ipate madini na kuyafanyia kazi inawezekana kabisa hawajui nini cha kufanya kunusuru hilo suala nyeti la afya.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi kuzikwa tarehe 2 badala ya siku ya kesho ndani ya masaa 24 ni kukiuka mazishi ya kiislam. Napendekeza ratiba ibadilishwe

    Hapo pa kujua moja ni mwema au muovu😁😁😁😁 maandiko ya uongo haya
  9. T

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Ali Hassan Mwinyi kwa mambo gani?

    Asante mtoa post maana waja walianza kumwagia sifa tu bila kueleza aliyokosea pia akiwa kiongozi wa ngazi ya juu
  10. T

    JamiiForums Tanzania Peter Msechu kupewa nafasi ya kutumbuiza Zanzibar?

    Kina nani wana ujinga ujinga?????binadamu bwana hivi hàmjui hata mtu akifa inabidi kusheherekea kama sherehe nyingine za kuzaliwa na kuoa au kuolewa. Unaposema ujinga ujinga unamanisha nini?????
  11. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hatutazuia Maandamano na Mikutano ya Hadhara

    Hii ni dharau kubwa sana kwa Chadema yani maandamano yameruhusiwa lakini yamejaa dharau kwamba andamaneni lakini hatubadilishi chochote yaleyale utaongea mchana we usiku utanyamanza na kulala😁😁😁😁 Chadema mmechambwa in a way...poleni sana
  12. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hatutazuia Maandamano na Mikutano ya Hadhara

    Hii ni hatari sana
  13. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wenye Hospitali binafsi wakataa kuwahudumia wateja wa NHIF kutokana na vifurushi vipya

    Umeme bado ni tatizo acheni siasa nyepesi
Back
Top Bottom