Recent content by tikomb

  1. T

    JamiiForums Tanzania Julai 02, 2013: Siku ya Aibu na Fedheha kwa Bunge, Wabunge na Serikali

    Hiyo TZ Tunaendeshwa na Vyombo vya Habari. Vyombo vyote Kimya, Hamna hata Mchambuzi anayezungumzia. Huo ndio Unafiki wa wengi katika wa TZ.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ama kweli utandawazi umeibadilisha dunia!!!!!!!!!!!!

    Nahisi tukingeneza katiba itakayofanana na China/N.Korea/Iran katika mambo ya Maadili na Utamaduni tunaweza kupambana na nguvu mvutano ya utandawazi. Na lazima tujiweke tayari Kuhoji na Kujadili yanayoingia kwa gia ya Hisani na Jamii Inaangamia. Ndio hapo tunalalamika watoto wa kizazi hiki...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hello Wadau: Ving'amuzi na Raia wa Kawaida wa TZ

    Ahante wadau nahisi furaha kuwa ndani ya JF.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hello Wadau: Ving'amuzi na Raia wa Kawaida wa TZ

    Ving'amuzi vs Simu za Mkononi (Mobile Phones) 1. Vyote vinatumia Chip (Programmed Chip Cards) - kwa cimu, tanzania imezoeleka kama lines. 2. Kwa mujibu wa technolgia huduma (services) nyingi kama co zote za mobile telephones zinaweza kutolewa kwa ving'amuzi vilevile (Airtime cost, Internet...
Back
Top Bottom