Recent content by tika16

  1. T

    JamiiForums Tanzania Gharama za kutuma na kutoa Pesa ziko hivi

    Suala hapa ni kuwa anacholipa mlaji serikali nayo ipate chake
  2. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apiga Marufuku kuingiza Sukari toka Nje

    Ni jambo jema sana, wakulima wetu wametaabika sana kushindwa hata kuuza miwa yao. Mfano Kagera na Kilombero wakulima walipata hasara sana. Ila ITABIDI SERIKALI IJIPANGE VIZURI KWANI WANUNUZI WAKUU WA SUKARI INAYOZALISHWA TANZANIA NDIO HAO HAO WANAOAGIZA KUTOKA NJE. Wanunuzi hawa wanapata faida...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa wanalofanya wapinzani

    Watanzania tunachotaka ni maendeleo tu sio kuwapa uongozi watu ambao kiu yao ni madaraka na si kutumikia wananchi. Yeyote anayetujali tutakuwa naye.
Back
Top Bottom