Watanzania Sasa tuamke hususan vijana. Bado tunayo safari ndefu kimaisha. Wazee wetu tunawapenda japokuwa wengi wao wameonekana hadharan kuwa ni wabinafsi. Tuwe wazalendo. Tuwe seriois na suala la katiba. Tutoe maoni yenye muino Wa mbali. Wazee wetu wametuangusha katika suala la katiba. Inayo...
kilichofanyika ni ndicho kilichotakiwa kufanyika kwa yeyote anayetafuta maendeleo. lengo si kuwa wapinzani hata kwenye hoja za msingi, nawaunga mkono kwa hatua waliyoifikia.
mbali na uchaga kazi anachapa kijana.walimfanyia umafya tu baada ya kumuona anasonga mbele kwa kasi. mh! nchi hii bwana, ukujituma kazi tabu, wazembe na mafisadi tu ndo wanakubalika.
tunamshukuru aliyetuma picha za matukio mapema kabla wanoko hawajajua, mana zisingekuwa picha pengine wangesingizia chadema wameua. kwa sasa haiwezekani kwani wahusika wauaji wanaonekana hadi sura, bado majina tu. naungana nawe kuwa serikali ilipanga kuua, tatizo tu hawakupanga wanauaje. kwa...
nakuunga mkono mkubwa, waliofanya hili tukio la kinyama lazima iwarudie. watanzania hatujafikia hapo ambapo jeshi letu la polisi limetufikisha. mauaji waliyoyafanya ni hayavumiliki kumtendea binadamu mwenzio. anyway, iko siku hata kama serikari itawabeba watu wake, lakini damu ya marehemu...
watanzania tulaani hiki kitendo kilichofanywa na jeshi la polisi iringa cha kumuua mwangosi. RPC awajibishwe kwa namna yoyote katika hili. asipowajibishwa, leo tumelia ya mwangosi ya kesho hatuyafahamu na hatujui atamfanyia nani.
na hasa huyu RPC wetu ambaye ni israeli mtoa roho za watu hadharani. hivi mwema ndio nini kutuletea wenzie aliyeshindikana songea, muuaji, sijui yeye ataishi milele? alichomfanyia mwangosi akitegemee siku moja hapa duniani kabla hajafa.
huna huruma wewe, siku moja mwanao afanyiwe unyama aliofanyiwa mwangosi ndio utaona uchungu. kuwa na huruma wewe ni binadamu, hayajakupata tu. siku zote msiba wa mwenzio kwako ni harusi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.