Mkuu unaona ajabu nini kura za maoni so umeshuhudia watoto wa walala hoi wanavyoandamama wapiga kura wamenunuliwa kwa fedha zao wenyewe na huko uvccm ulitegemea miujiza, escrow, Richmond n.k ndio kazi yake. kama una hasira kama zangu 25 October ongozana na wenzako kama mia hivi tukawaadabishe!!
Acha kudanganya watu, lami imechakachuliwa utadhani hatuna wataalam kwa sababu wanaambiwa warudishe 10%, Shule hakuna huduma ni shule kama unabisha nitajie mtoto mmoja tu wa kigogo anae soma shule mokawapo ya shule hizo za kata. hazifai ndio maana hawawezi kupeleka watoto wao hapo! Chakula kipi...
Amechelewa sana alitakiwa kujiuzuru toka ccm walipotangaza 5 bora na kuachwa kwa sababu ya kukosa maadili. Mwandosya na wewe toka ccm. ccm ilikuwa enzi hizo acha kulalamika mzee ukilalamika watoto watafanyaje?
Hawaezi kulikomboa kwa sababu ya mfumo uliopo madarakani ni kuhakikisha taifa halikomboki ila wachache wenyemadaraka wanakomboka! msomi yeyote anaejitokeza kufanya kazi ya masilahi kwa taiga anatengenezewa zengwe watafanyaje ili maisha aende wanaulizwa wanachotaka nini wanajazwa mapesa kimya...
MKUU sikusikia uchambuzi wake. kama ndivyo kuna haja WARYOBA kumtimua kwenye timu take ya katiba nimeamini sasa watanzania sasa hawa watu wametufanya wapumbavu vya kutosha wanazidi kunipa hasira nikalale kituoni trh 25! Yaani makongamano yote aliofanya na anayoendelea kufanya no kufisadi pesa ya...
Wanajamii wenzangu naomba mnitoe wasiwasi huu wa kuzagaa kwa habari ya vijana wakati wanajiandikisha mawakala wa Ccm walikuwa wanawapa ishara waandikishaji mamluki waliopandikizwa na ccm kuwatolea kadi feki. wakati wa zoezi la kuweka alama utambulisha wa vidole mawakala hawa walikuwa hawabonyezi...
Umepewa data za unakika dunia no kijiji kwa sasa. unajua Tanzania INA mikoa 30 wilaya 169 kata si pungufu ya 10 kila wilaya kila kata ina vijiji si pungufu ya 4 hesabu ulisoma? Kama ulisoma utajua watu million Moja laki sita wanaweza kupatikana ndani ya dakika nane!!!! kwanini ukurupuke na...
Kadono sisi watanzania sio wajinga rekebisha hiyo kauli sasa sema 'wapumbavu' kwa sababu tunajifanya kuwa tunajua kumbe hatujui! tungekuwa wajinga tungeshaelimika na mfumo huu was wachache kufaidi rasilimali zetu ungekuwa historia. Tufikirie cha kufanya tuwatoe watu kenye huo upumbavu ili...
Kula Ccm wanafedha zetu nyingi sana ndio maana tulienda kuzipunguza wakati was kura za maoni na kampeni vilevile tutaendelea kuzila October 25 saa 4.00 asubuhi Ukawa tutakuwa tumeshawashikisha adabu!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.