Recent content by TigerG

  1. T

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya kuku wa kienyeji (halisi sio chotara)

    Mimi sijaandika tusi lolote
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya kuku wa kienyeji (halisi sio chotara)

    Kwakweli hajaja kama mteja ila poa
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya kuku wa kienyeji (halisi sio chotara)

    Sijakutukana,nimekudescribe character yako,tofautisha. Mi natangaza biashara yangu we unaanza maneno sijui kutoka wapi,kwann usilete hoja kistaarabu kama unaona ipo haja ya mm kuprove authenticity ya hayo mayai? Unaanza kuchonga hovyo tu? Wewe endelea kubonga wanaohitaji biashara nitafanya nao...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya kuku wa kienyeji (halisi sio chotara)

    Mi napatikana ubungo maziwa,sinza hapo 1000 tu nakufikishia
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya kuku wa kienyeji (halisi sio chotara)

    Wewe upo dar?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya kuku wa kienyeji (halisi sio chotara)

    Kama huhitaji we kausha sio kila kitu lazima kucomment. Dah kuna watu humu pessimistic kweli.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya kuku wa kienyeji (halisi sio chotara)

    "Siyo ya kienyeji ni ya kutotoresha kwa mashine" umeongea kitu gani wewe?
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya kuku wa kienyeji (halisi sio chotara)

    Itategemea tu na umbali,inaweza kuwa mpaka free
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya kuku wa kienyeji (halisi sio chotara)

    Bei ya?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya kuku wa kienyeji (halisi sio chotara)

    Ndio nafanya
  11. T

    JamiiForums Tanzania Huyu dada nilikuwa na malengo nae ila mmh

    [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  12. T

    JamiiForums Tanzania Huyu dada nilikuwa na malengo nae ila mmh

    Sadly,nikweli
  13. T

    JamiiForums Tanzania Huyu dada nilikuwa na malengo nae ila mmh

    Sio wote
  14. T

    JamiiForums Tanzania Watu wenye vimradi vya kufuga kuku na kelele za kujiajiri

    Hebu tueleze ssb na mo walianzaje
  15. T

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya kuku wa kienyeji (halisi sio chotara)

    Habari wana jf,mimi nafanya biashara ya mayai ya kuku wa kienyeji,binafsi sio mfugaji ila nakusanya kutoka kwa wafugaji wadogo wadogo wasiozalisha mengi kwa wakati mmoja. Nipo Dar,nauza tray kwa Tsh.12,000. Karibuni.
Back
Top Bottom