Recent content by Tiger

  1. T

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ameripoti Kituo Kikuu cha Polisi leo, asindikizwa na jopo la wanasheria

    Tatizo ndio hujakuwa sasa.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa, kupigwa risasi Lissu: Chama cha Wanasheria Uingereza chamlima barua Rais Magufuli

    Hili suala litaichafua nchi katika nyanja za kimataifa, maana budget zetu ni zaidi ya nusu tunawategemea wahisani.
  3. T

    JamiiForums Tanzania ACACIA yasema italipa mirabaha iliyowekwa katika sheria mpya ya madini

    Tanzania ya viwanda inakuja hapana shaka.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Bomoabomoa Kibamba yapigwa marufuku na Mahakama Kuu

    Maendeleo ni muhimu lakini wafuate taratibu zote za kisheria, na kama watu wanatakiwa kulipwa fidia walipwe kwa wakati muafaka...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwakyembe: Msanii anayetaka kuzungumzia siasa, akagombee ubunge au udiwani

    Afrika itabakia kuwa Afrika milele, mpaka parapanda litakapolia.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nape: Ben Saanane amepotea, Clouds wamevamiwa, akina Roma wametekwa, Rais achukue hatua

    Anahaki ya kuwaeleza wapiga kura wake yaliyo msibu, kama utakumbuka dar hakupewa nafasi ya kuongea.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nape: Ben Saanane amepotea, Clouds wamevamiwa, akina Roma wametekwa, Rais achukue hatua

    Hahahah ndio siasa za kiafrika, mwenye shibe hamjui mwenye njaa.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Kitila: Zitto asema Rais ameamua kuunganisha nchi kwa kufanya kazi na watu wote

    Hahahahah hapo tumejifunza kitu kikubwa sana wasemayo sio watendayo.
  9. T

    JamiiForums Tanzania TABOA Wasitisha mgomo wa Mabasi baada ya kukubaliana na Waziri Mbarawa

    La msingi ni sheria kwa fuatwa na watu wa idara zote hakuna aliyekuwa juu ya sheria.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwele Malecela aula Umoja wa Mataifa. Kuongoza vituo vya magonjwa Afrika

    Mungu mwema na wenye wivu wajinyonge, Ukifunga mlango mmoja kuna sabini mingine inafunguliwa..
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Rufiji apigwa risasi na kufariki dunia

    Poleni wafiwa, kubwa ni kuwa subrah...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu apokea ripoti ya Kifo cha Faru John. Ni kweli Faru John alikufa

    DUH IWE SIKU YA MAOMBOLEZI...!!!
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    What goes around come around...
Back
Top Bottom