Recent content by Tien corrector

  1. Tien corrector

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu kufumania Shemeji yangu

    Ndio maana wahenga walisema pa mwenzako pagumu meza mate ulale. Siku yakikukuta ndio utajua ni stori za kutunga au laa.
  2. Tien corrector

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu kufumania Shemeji yangu

    Ndoa ngumu Sana MUNGU awasaidie Wana ndoa kwa kweli. Wanaume Sijui tufanyaje maana unaweza mpa mwanamke kila kitu lakini bado asiridhike. Hii kitu imeniathiri Hadi Mimi naogopa Sana [emoji24]
  3. Tien corrector

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu kufumania Shemeji yangu

    Kwanza kabisa nipende kuwapa pole wanajavi wote kwa changamoto ya corona na pole zaidi kwa waliopoteza ndugu zao. Tuzidi kumwomba mwenyezi MUNGU na kuchukua tahadhari Inshallah tutavuka salama. Leo napenda kuleta mrejesho wa thread yangu ya week kadhaa zilizopita niliyoiandika hapa hapa yenye...
  4. Tien corrector

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nimemfumania shemeji yangu

    Umeongea vyema mkuu shukrani nitajitahidi Sana kulea uovu nashindwa abadani[emoji17]
  5. Tien corrector

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nimemfumania shemeji yangu

    Je nikimwambia kwa njia ya simu Ina Afya au nionane naye ana kwa ana....??? Maana kwa Sasa nipo mbali naye kwa Maana ya distance.
  6. Tien corrector

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nimemfumania shemeji yangu

    Labda tumetofautiana huyu ni rafiki yangu zaidi ya ndugu tumetoka mbali Sana ndio Maana naumia Sana mpaka naomba ushauri zaidi means nashindwa kulibeba kimya kimya.
  7. Tien corrector

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nimemfumania shemeji yangu

    Yaan hapo kuwa chanzo Cha ugomvi pananifikirisha Sana . Umewahi kufanya hivyo(kukausha) kwa rafiki yako kipenzi?
  8. Tien corrector

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nimemfumania shemeji yangu

    Hofu yangu ipo kwenye mapokeo ya jamaa maamuzi magumu yeyote yakitokea Mimi siwezi kuwa chanzo?
  9. Tien corrector

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nimemfumania shemeji yangu

    Habari Wana jamvi, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Nina rafiki yangu ambaye ni Kama ndugu yangu kwa jinsi tunavyoishi na kusaidiana once changamoto za kimaisha zinapo arise. Nimeishi vizuri Sana na huyu rafiki yangu tena kwa ukaribu Sana tukiwa mtaa mmoja. lakini kwa Sasa tupo mbali kwa...
  10. Tien corrector

    JamiiForums Tanzania Tushirikishe na sisi ni kwa namna gani uliweza kufanikiwa

    AMINA KUBWA NDUGU YANGU. NAWE UBARIKIWE SANA KATIKA KAZI ZAKO.
  11. Tien corrector

    JamiiForums Tanzania Tushirikishe na sisi ni kwa namna gani uliweza kufanikiwa

    Safi Sana usikate tama kizembe Mafanikio ni process hajaoti tu Kama uyoga. Mapambano mema ndugu. Ahsante Sana.
  12. Tien corrector

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu ya kuwachukia wanawake & msamaha kwao

    tiencorrector@gmail.com Maana ya kuweka Email address kwanza ndio muongozo tuliopewa hapa Jf. Pili, mtu mpaka atulie na kuandika email inamuongezea sifa kuwa yupo kiasi seriously na hii Ina apply hata kwenye tasisi Kama kipimo kwa waombaji [emoji2][emoji2]
  13. Tien corrector

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu ya kuwachukia wanawake & msamaha kwao

    Ni mapokeo tu hata wewe ukisimulia mapito yako tunaweza kupokea kama tungo tu. Ahsante Sana.
  14. Tien corrector

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu ya kuwachukia wanawake & msamaha kwao

    Nilitoa email address mkuu.
  15. Tien corrector

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu ya kuwachukia wanawake & msamaha kwao

    Ahsante ndg maisha ni darasa lazima tupitie mitihani
Back
Top Bottom