Recent content by Tichaj

  1. T

    JamiiForums Tanzania Wenzetu mliotumia pesa za kujikimu (BOOM) la chuo mkatoboa mmefanyaje huenda wadogo zenu wakasaidika

    Nilikuwa napata boom kwa kusoma shahada ya elimu lakini nililitumia kusoma electronics, computerised accounting, networking na computer maintenance. Nahisi shahada ya elimu niliyonayo niliiongezea thamani.
  2. T

    JamiiForums Tanzania KERO Meatu: Walimu tunakataliwa kujitoa chama cha walimu kujiunga CHAKUHATA. CWT Wilaya kuna mambo ya ovyo mengi

    Walimu hata huku Katavi wengi haturidhishwi na utendaji wa cwt hivyo may 2025 tulijaza form kujitoa cwt na kujiunga na chakamwata. Danadana katika ofisi za utumishi zinakera. Mara mtandao hakuna, mara hatuna password mara subirini kdg mara subirini mwezi ujao. Kimsingi hata mtoto huwezi...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa mawazo mwanangu hapendi Kula

    Niliachiwa watoto na mke mtafuta Hela. Watoto hawakuwa wanapenda kula Hadi ufoke au tuwape zawadi ili wale. Njia niliyotumia 1. Kwanza wapatishe njaa no bites, no juice, no kutafuna chochote 2. Wape kazi Fulani ili walichokula kiyeyuke mfano wafagie, wang'oe majani au wakimbie riadha. 3. Kisha...
  4. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nchi yangu, Maisha yangu

    Tanzania ni Nchi yenye neema nyingi na Kila namna. Neema zetu kiroho, kimwili, kijamii na kiuchumi zinaifanya Tanzania kuwa kama mtoto aliyezaliwa akiwa na hamu ya Nini kinafuata. Kunyonya kwa mama kunaamsha matamanio ya kesho yenye kicheko. Watanzania ni watu wenye matumaini ya kesho nzuri...
Back
Top Bottom