Recent content by tiby

  1. T

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Haki sawa ndo kauli mbiu ya chama cha CUF
  2. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wenzangu Tuzikumbuke Shule Zetu za Msingi Tulizosoma

    Mihongora ps wilaya ya biharamulo na badae solomon mahlang primary school mazimbu morogoro
  3. T

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri, Mgomo wa Madereva wa Mabasi nchini - Aprili 10, 2015

    Asaiv fresh.. kikao cha madereva kimemalizika....
  4. T

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri, Mgomo wa Madereva wa Mabasi nchini - Aprili 10, 2015

    Inaonekana we ndo walichokulogea unaombea uchaguzi ufike il upate hiyo chumvi na tishet.. ndo mana unaoshadadia hiyo sisimizi yako.. sory sisiem.. Kwa taarifa yko huu ndo mwaka wenu wa mwisho... Pipozi.......
  5. T

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri, Mgomo wa Madereva wa Mabasi nchini - Aprili 10, 2015

    Kura lazima tupige... lakin hatupigii ccm.. Kwa ujinga kama huu wanofanya.. kila siku wanakurupuka..
  6. T

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri, Mgomo wa Madereva wa Mabasi nchini - Aprili 10, 2015

    mi naona kuna haja ya hii elimu ya udereva kuwa kama elimu nyingine... kuwe na certificate.. diploma.. degree.. masterz na phd ...up proffesor.. Labda itapunguza ajali kwa mtazamo wa serikali..
  7. T

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri, Mgomo wa Madereva wa Mabasi nchini - Aprili 10, 2015

    Serikali ya sisiemu inazidi kupoteza mwelekeo... wapinzani tujiandae kuchukua nchi
  8. T

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri, Mgomo wa Madereva wa Mabasi nchini - Aprili 10, 2015

    Inasemekana madereva wameenda kwenye kikao.... ni vema tukamuenzi baba wa taifa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Inatibika bila dawa
  10. T

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri, Mgomo wa Madereva wa Mabasi nchini - Aprili 10, 2015

    Kweli serikali yetu inawayawaya... madereva wakasome mara ngapi... dereva mpaka unamptia leseni tena class ya kusafirisha abiria.. iweje umwambie tena kila baada ya miaka mitatu akasome.. Mi naona tatizo lipo kwenye utoaji leseni.. kwan madereva wengi wanapewa leseni kupitia mlango wa nyuma...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kimetoboka juzi usiku
  12. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ulipo Ubalozi wa Shelisheli

    Hahahaha... we utakua inatoke kule chigoma.... mwidiwe
  13. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ulipo Ubalozi wa Shelisheli

    Asnte mkuu..
  14. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ulipo Ubalozi wa Shelisheli

    Habarini, Naomba kuuliza yoyote anayefaham ubalozi wa Shelisheli nchini Tanzania upo maeneo gani. Tafadhali anijuze
Back
Top Bottom