Recent content by THUNDERBOLT

  1. T

    UHURU: CHADEMA yapasuka

    Hilo ni dua la kukuu...Huyu Nepi ndiye atakayepasuka siyo CDM. kijana anapata shida sana huyu utafikiri kuku anayetafuta mahali pa kutagia mayai. Hata Headline sasa anatengeneza yeye na kuamuru iandikiwe...Peoplessssssss!!!!!!!!!!!!!
  2. T

    CCM msirudie haya tena, hayapendezi na hayavumiliki!

    Wana mimba changa hao! Peoopleesssss...!
  3. T

    Bob makani kaacha chachu!

    POLENI WANACHADEMA na watanzania wote kwa kumpoteza Mzee Bob Makani. Naamini kifo chake kimeacha chachu itakayowaamsha wapenda mabadiliko wote na hasa vijana kutoka katika usingizi na naamini pia msiba huu utawapa moyo wa kupigana bila kurudi nyuma dhidi ya udhalimu wa serikali ya CCM. Mzee...
Back
Top Bottom