Recent content by Three idiots

  1. T

    JamiiForums Tanzania Magoda Junior awachana wazazi wanao somesha English Mediums kwa kufuata A+

    Private watu wanawapeleka watoto sio kwa kupata A . (I) Mazingira mazuri ya kujifunzia . (2) walimu wa kutosha na wenye moyo wa kufundisha . (3) Darasani wanafunzi ni wachache hadi unaenjoy kusoma. Shule za serikali wanafunzi wanajazana hadi mwalimu kufuatilia kila mwanafunzi inakuwa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Uliyeandika kitabu cha mtaala mpya physics (TIE) kwenye topic ya electronics urudi shule ukasome

    Mtu anaanza kusoma tu electronics anakutana na multistage amplifier. Kabla ya multistage kuna vitu vya msingi sana ambavyo mwanafunzi anabidi avielewe na hawa wanafunzi wa form six sasa hivi hawajavisoma kipindi cha form 4. Ikiwemo Gain katika transistor na power inayopatikana katika...
Back
Top Bottom