Umeanza vzr, tena kwa mifano hai ya msaliti wa mageuzi(Zuma) na Slaa. Ila uliposema demokrasia ipo ccm na ccm itatawala kipindi kirefu ndo ulipochafua hali ya hewa na kufanya yote hapo juu yaonekane ya kipuuzi! Sio kuzomewa tu, mpaka msafara wa raisi ushapigwa mawe huko Mbeya, je ccm kuna...

Sawa, tunakubali kila nchi na utaratibu wake. Lakini mimi naamini bendera inatakiwa ipepee nusu mlingoti hata huko kwao(Saudia), kwasababu Nelson Mandela ni mja wa mwenyezi Mungu na Mungu pia ndio alimtuma na akambariki aweze kufanikiwa kwenye harakati zake za kumkomboa mtu mweusi kwenye kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.