Recent content by Thomas segeja

  1. T

    Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

    Kwa sababu za kiusalama naomba iwe classified maana natumia jina langu halisi humu, na wapekenyuzi wengi, thanks
  2. T

    Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

    Ndugu niliomba saana tu mwisho nikabahatika, sikushikwa mkono na mtu nilifanya interviews zangu vizuri tuu nadhani
  3. T

    Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

    Namshukuru Mungu nimeajiriwa na Ngo na maisha yanaenda sasa, mshahara wa huko ni mdogo saana japo nilikua na upigania ila kuna kaumasikini huko kwa walimu, ngo niliyopo inahusiana na maswala ya elimu napita huko vijijini naona
  4. T

  5. T

    Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

    Baada ya kuomba mara sita za mwanzo na kukosa niseme tu hakuna namna nitapata wakati huu hivyo kila la kheri kwa mtakao omba, ila kuna ka umasikini fulani hivi tunajiwekea tukikimbilia kwenye ualimu mkijiongeza mtanielewa mi ni mwalimu nisie fundisha sasa
  6. T

    TFF kilichoshindikana kwa Tuisila Kisinda kiliwezekana kwa Perfect Chikwende (double standard)

    Ni wajinga sana tuu..walishafanyaga hivyo kwa mb33 na akawashinda cas na maadili..hao hao tena unawatetea kwenye hili..unafikiri cff hawana akili
  7. T

    TFF kilichoshindikana kwa Tuisila Kisinda kiliwezekana kwa Perfect Chikwende (double standard)

    Kwenye dirisha moja huwezi kufanyia usajili jina moja mara mbili yaani ummpe leseni mchezaji na kabla ya dirisha hilohilo kufungwa umtoe...kwa kahata na chikwende, kahata alisajiliwa dirisha kubwa akaja kutolewa kwenye dirisha dogo ila akacheza kimataifa tuu..dirisha moja kufanya sajili za...
  8. T

    TFF kilichoshindikana kwa Tuisila Kisinda kiliwezekana kwa Perfect Chikwende (double standard)

    Kipindi kile caf walitoa sheria maalumu ya kusajili wachezaji wa ziada kwa timu ziluzoingia hatua ya makundi kwa sababu za covid...ilikue ni sheria ya mpito tu na simba ilisajili waxhezaji zaidi ya 13 wengine hawakucheza hata mechi koja lakini waliosajoliwa kwenye ligi walikua ni 10 tu kama...
  9. T

    Sikujua kama kuna US agencies zina uswahili kwenye ajira

    Fafanua for how long utajua kama hujawa considered ili tuendelee na mishe zetu
  10. T

    Mahusiano kati ya namba ya NIDA na mfumo wa ajira yakoje? Dogo kazinguliwa ajira mpya, naomba ushauri wenu

    Kati ya cheti chako cha shule na nida ni kipi kinakua cha kwanza na validy kwenye utambulisho wako? Swali hilo ukilipatia jibu utaelewa kwanini nida ni muhimu maana ina cheti chako na cha mzazi/wazazi vya kuzaliwa so its your first identinty. Na nida jamani ilianza rasmi 2010 kaka sikosei...
  11. T

    Msaada, kupata Certified criteria cognitive Report(CCCR)

    Niliandika mimi huo uzi..ndugu yetu atatapeliwa hakuna kulipia chochote kwenye process ya intetview yoyote ile
  12. T

    Try Again umewashindwa Yanga! Pumzika kaka

    Bwana hawa jamaa hatuwawezi timu yetu nzuri ila hata sielewi imekuaje...tumecheza vizuri ila inakuaje yanga awe na mayele sisi tumeshindwa kumpa hela aje kwetu
  13. T

    Yanga walalama kutopewa mualiko wa mkutano CAF

    Subirieni bunge..mtaalikwa. caf unaalikwa kwa sababu maalumu..na linapokuja swala la caf yanga hana tofauti na iefu fc.. sasa hao wote waalikwe kwenye mkutano mkuu wa wanachama na viongozi wa caf si utakua uswahili..simba alialikwa kwa mualiko maalumu..mkutano ni wa mashirikisho ya mpira kikanda...
  14. T

    Naona viongozi wa Yanga wanakomalia kualikwa kwenye mkutano wa CAF

    Waalikwe wakaanzishe fujo pale.. maana wao ni fujo tu muda wote
Back
Top Bottom