Recent content by Thomas Paul

  1. Thomas Paul

    Naombeni mnijuze kuhusu ICT

    Wana jf ningeomba kujua ni kipengele kipi na kipi ukisoma ICT unaeza pata kazi kwenye makampuni ya mitandao ya simu kama vodacom, airtel e.t.c. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Thomas Paul

    Madhara ya kutofanya mapenzi

    zezeta ni wewe Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Thomas Paul

    Madhara ya kutofanya mapenzi

    wadau naomben mnijuze madhara ya kutofanya mapenzi ni yapi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Thomas Paul

    vipengele vya ICT

    samahani ningeomba uniorodheshee vya software na hardware Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Thomas Paul

    vipengele vya ICT

    programmer,web designer, developer kwan havihusik Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Thomas Paul

    vipengele vya ICT

    Samahanini tena wana jf ningeomba mniambie kuna vipengele vingapi vya ICT na ningeomba mnitajie ili niweze kufanya uchaguzi sahihi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Thomas Paul

    Wana jf ningeomba kujua hili kuhusa ICT

    Naombeni kujua kwenye course ya ICT nafasi za ajira ziko vipi. Na unaweza pata kazi sehemu gani na sehemu gani Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Thomas Paul

    ict

    kwa miaka hiyo m3 ni degree ngap una pata Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Thomas Paul

    ict

    wana jf samahanini nilikuwa naomba mnijuze degree ya ict ni miaka mingapi Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Thomas Paul

    Naweza kusoma ICT?

    sawa. unaeza pata kazi kwenye makampun ya simu ukiwa na diploma
  11. Thomas Paul

    Naweza kusoma ICT?

    kama hesabu ilikuwa ina zingua kidog
  12. Thomas Paul

    Naweza kusoma ICT?

    na kama hesabu ilikuw ina kutatiza kidogo
  13. Thomas Paul

    Naweza kusoma ICT?

    wana jf kuna uwezekano wa kusoma ict ukiwa ume soma arts
  14. Thomas Paul

    Je, mtaalamu wa ICT anaweza kufanya kazi kwenye makampuni ya simu?

    Habari wakuu, Nina swali naomba kuliuliza. Je, unaweza kupata kazi kwenye makampun ya simu ukiwa umesoma masomo ya ICT? Natanguliza shukrani
  15. Thomas Paul

    ict

    Wana jf ningependa kujua ukisoma ict uwezekano wa kupata ajira unakuwaje apo??
Back
Top Bottom